Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, John Magufuli amesema akishinda Urais atagawa Kompyuta mpakato(Laptop) kwa kila mwalimu nchi nzima. Amesema atachukua hatua hiyo ili kuinua kiwango cha Elimu Nchini. Pia ahaidi Mil. 50 kila Kijiji kukuza Uchumi akishinda Urais. Source: Raia mwema
Nini maoni yako hapo
Mgombea Urais John Magufuli Amesema Akishinda Urais Atagawa Kompyuta kwa Kila Mwalimu Nchi Nzima
19
August 13, 2015
Tags
Tunaimani na wewe baba magufuli..............MUNGU AKUSAIDIE
ReplyDelete..sawa huo ndiyo mtizamo na vipaumbele vyake, hata kama kuna wanafunzi wanakaa chini kwa kukosa madawati.. nadhani mtizamo huu utakuwa unawalenga zaidi walimu wanaofundisha shule zilizopo mijini sababu huko vijijini itakuwa ni shiidaaaaaaaaaaa.
ReplyDeleteHuyu hafaikua rais huwaga anaropoka bila kufikiria hapa ccm walichemsha sana walimu kupata mishahara yao inakua shida yy kaona laptop ndio jambo la maana sasa hiyo laptop wataichaji nakuni?kuna vijiji na shule paka leo umeme nindotokwao huyukweli pombe.
ReplyDeleteacha ujinga mlopakaji ni wewe usiyejitambua mshenzi mkubwa sana
DeleteMMH, SEKTA NYINGINE TUNAPEWA NINI?
ReplyDeletetunamshukuru kwa hilo ila pia aangalie pia na huu mfumko wa bei nchini
ReplyDeleteKWELI WE ADMIN HAMNAZO, UMEULIZA NINI MAONI YETU , TUMETUMA MAONI HALAFU HUJATOA. UNA MAANA GANI???????????????????
ReplyDeleteHii mbado ona, laptop tu inainua kiwango cha elimu, au basi tu ndo Rushwa kwa wapiga kura na wasimamizi wa uchaguzi
ReplyDeleteWamezoea watanzania wa sasa hivi hawadanganywi hovyo.Hivi hizo hela za kuwanunulia mamilioni ya walimu laptop atatoa wapi? Na Tanzania ina vijiji vingi sana hela atatoa wapi? Asifanye watu ni mambweha.
ReplyDeletendoto za alinacha.
ReplyDeleteHAKIKISHA WATOTO WOTE WANAOFAULU WAENDE VYUO SIO KUWAAACHA WATOTO VIJIWENI KISA HAWAPEWI MIKOPO YA ELIMU YA JUU,INASABABISHA WATOTO KUSHAWISHIKA NA KUWA MAJAMBAZI.MUNGU IBARIKI TANZANIA
ReplyDeleteNdoto za alinacha,
ReplyDeleteKwa ufisadi huu!
Ana acha kumzungumzia nyongeza za mishahara anazungumzia laptop wakati umeme wenyewe magumashi,kwa taarifa yako makufuli walimu wamechoka wanataka nyongeza za mishahara maisha ni magumu.
ReplyDeleteWalimu tunahitaji mishahara minono sio kopyuta
ReplyDeleteWalimu hawana mishahara ya kutosha mwezi mzima, je watakula hizo laptops
ReplyDeletemh wacha tuone.
ReplyDeleteLAPTOPS WAKATI HATA SIMU ZA TOCHI KUMILIKI HAWAWEZI!!! WANAFUNZI HAWANA VYOO NA WANAKAA CHINI! JIPANGE KISERA.
ReplyDeletehakuna jema chini ya jua. yote ni kujilisha upepo!
ReplyDeleteACHENI UZUSHI HAJASEMA KITUBKAMA HICHO MNATAKA KUMCHAFUA TU,, SUBIRINI MGOMBEA WENU LOWASA AWAPE UTAJIRI KAMA ALIVYO AHIDI KUWAPITISHIA MITAJI KILA MWANA KIJIJI.,,, MUACHENI MAGUFULI WA WATU MKATAE MKUBALI ATAWABURUZA TUUUU HANA KASHFA NA MCHAPAKAZI.
ReplyDelete