Mwenyekiti wa taifa wa TLP Augustine Mrema amewatahadharisha watanzania kuwa macho juu ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) ambao umepoteza mwelekeo na kuyumba kisiasa na kudai kuwa hawafai kuingia ikulu na kuongoza nchi.
Mwenyekiti wa Taifa wa chama cha TLP , Augustino Lyatonga Mrema
Mrema ametoa tahadhari katika eneo la njiapanda baada ya kurejea ofisi ya msimamizi wa uchaguzi wilaya ya Moshi kuchukua fomu za kugombea ubunge katika jimbo la Vunjo huku akisindikizwa na wafuasi wake.
Amesema, kitendo cha ukawa kumkashifu hadharani waziri aliyestaafu Mh
Edward Lowasa kuwa ni fisadi na baadaye kumpokea na kumteua kuwa mgombea wa urais ukawa imeonyesha udhaifu mkubwa na kwamba watanzania wa sasa si wakuburuzwa.
Mh. Mrema amesema kuwa haiwezekani mtu alieachwa na chama na kuonekana hafai kutokana na tuhuma za ufisadi kicha CHADEMA ndio wakaona anafaa kuwa mgombea huko ni kuonyesha kutokuwa na msimamo ndani ya hivyo ni vigumu kuwapa uongozi wa nchi.
HANA KIKI TENA HUYO MGONJWA ZAMA ZAKE ZIMEISHA, HATUSIKII WALA KUAMBIWA NA KWA LOWASSA NA KADI ZA KUPIGIA KURA TUNAZO
ReplyDeleteHuyu ameshapewa mrungula atuondolee njaa zake huko! jana si ndio walikua wote kwenye ule msafara wa kwenda kuzika! hawa viongozi wetu ni pumba sana! bora akae kimya atafute point nyingine na siyo hiyo, tumeizoea lo!
ReplyDeleteMzee wa kiraracha tulia mzee inabidi ustaafu usije ukafa Kwa kihoro,wewe ni mmoja ulioua upinzani,nenda kanywe mbege,hayakuhusu haya tuachie Baba tuwatoe hawa madhalimu maana tunapiga kila upande wa tz.
ReplyDeleteHuyu mzee bado yupo?hahaha hahaha!!atuondelee pumba hapa tunajua tunachofanya lyatonga,wewe subiri ustaafu.
ReplyDeleteUkweli mtupu.
ReplyDeletendugu zangu watanzania,tuendelee kuvumiliana na kusikiliza yanayosemwa pasi na kukerekwa na kauli za kuudhi.wakati ukawa wanapojiadaa kuchukua dola,mheshimiwa mrema anasema hapana ukawa wamepoteza mwelekeo,tuvumiliane ,na,mwisho wa siku tupongezane.
ReplyDeletekatibiwe kisukari wewe, halafu safari hii ubunge hupati utakoma
ReplyDeleteWeeeeeeeer
DeleteGood
ReplyDeleteWe mzeee Rudi mosh ukale ndiz na mbege siasa waachie wanaojiweza
ReplyDeleteWeeeeeee
ReplyDeleteKwani Mrema ndio nani tena?
ReplyDeletemzee mrema leo nakupatia ushauri wa bure.afya yako ya akili imezorota sana.kaendelee na matibabu yako ya mirembe na muhimbili.ukikataa tutakufunga kamba tukupeleke.pokea ushauri wa bure.sasa hivi wewe si wewe.hamnazo.
ReplyDelete