Mshindi wa Kura za Maoni CHADEMA Bunda Aliyekatwa na Nafasi yake Kupewa Ester Bulaya, Ahamia CCM

Wakuu, hatimae Pius Masului yule mshindi wa kura za maoni CHADEMA jimbo la Bunda mjini amehamia CCM akidai kutoridhishwa Na maamuzi ya CC ya CHADEMA Taifa kukata jina lake na Kumpa Mshindi wa Tatu Ester Bulaya

Chanzo: Radio Mazingira FM

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hahaaa hawa na nchi watataka kugawana kwa staili hii hawafai...

    ReplyDelete
  2. Weee Pius chezea nyoo Chadema sasa ni masilahi toa kitu upate kitu rushwa ya ngono ilikuwa kwa wasanii sasa hata wanasiasa wanaojiita wakombozi wa wadanganyika

    ReplyDelete
  3. Kweli tutafika wazalendo wahukumuni watu wanachezea haki ya demokirasi kwa ngono je wakipewa nchi ni kuliko atomiki ya hiroshima maangamizi yake watu ni kula nyuchi tuuuuu hawajali walalahoi tujifie kivyetu

    ReplyDelete
  4. Hongera mdau kwa kujitambua

    ReplyDelete
  5. mambo haya bongo hayawezi kuisha

    ReplyDelete
  6. Mbona mnatuchanganya??????

    ReplyDelete
  7. Hapa hakuna mabadiliko ya kweli labda ateremke malaika gabrie tanzania tunanuka ngono na rushwa mtindo mmoja sijui tunaishi sayari gani sio hii sayari inaitwa dunia

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad