Mtoto wa Diamond Platnumz Amburuza Mtoto wa Ali kiba Ndani ya Siku Moja Mtandaoni

Mtoto wa Diamond Priness Tiffah amabaye Ana siku moja toka aje duniani ame mburuza na kumgaragaza mtoto wa pili wa Kiba, Kiba Jr kwa idadi ya followers Instagram ikumbukwe Princess Tiffah account yake ya Insta gram siku moja wakati ya kiba Jr ina 76 weeks.

Angalia Hapa Chini:


Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. so wat acha udaku wewe

    ReplyDelete
  2. mmeshaanza wapuuzi nyie. Hata rwanda genocyde ilianzia kwenye media. Waacheni watoto wa watu na maisha yao.

    ReplyDelete
  3. Nyie media kweli pu........b na wa kwako yuko wapi kazi kutufanya kusoma habari za kipuuzi ok mtoto wa dai kamburuza wa kiba kipi kinacho tusumbua tukose kulala

    ReplyDelete
  4. Sasa kamburuza kamtupia wap unajua nyie wasenge mna mambo ya kipuuzi huyo mtoto amezaliwa na pembe ama mbona maneno mengi wamezaliwa wakakuta mitandao na wataiacha

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad