Nape Anasema Lowassa Amejivua Nguo...Najiuliza Alitegemea Aendelee Kuvaa Nguo Chafu?

Nape anasema Lowassa amejivua nguo...najiuliza alitegemea aendelee kuvaa nguo chafu? vazi la kijani alionyeshi uchafu na ndiyo maana upendelewa na Mafisadi. Ilikuwa ni jambo muhimu kwa Lowassa kuueleza umma juu ya Richmond na sasa tumejua. CCM na menejiment yake inawajibika kutoa maelezo ni wapi fedha za umma zilipelekwa. Tunamshukuru Mh. Lowassa kwani aliwajibika kwa mujibu wa sheria kuinusuru serikali na sasa ni wazi kabisa ni mtu safi haswa anapoendelea kuchukua maamuzi magumu ya kujiunga vema upinzani kuyakataa makabaila ndani ya CCM.

By Philip Mlay
Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. CMM mmepanick mbayaaaaa

    ReplyDelete
  2. manene ya mkosaji puwa kama ngumi

    ReplyDelete
  3. Kweli kabisa bwanaaa...

    ReplyDelete
  4. Tutataka kujua kinagaubaga ilikueaje mambo ya Richmond?kama alivyokuwa jasiri kujiengua CCM,atusaidie pia Watanzania wapi iliko pesa za Richmond name Epa.

    ReplyDelete
  5. Na ya richmond afanye uamuzi mgumu atueleze iko wapi pesa ya richmond, sio pesa katafuna afanye uamuzi mgumu kuutafuta urais tuu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad