NAPE Unapotuambia Hii ni OIL Chafu, Haifai, Tunaweza Kukupa Utitiri wa Matumizi Yake...na Utashangaa

Wakati wa utoto kule Moshi tulikuwa tunatumia maguta (magari ya miti), kilainishi cha beringi (bearing) zake tulikuwa tunatumia OIL CHAFU, pia ili mbao ama nguzo isiliwe na MCHWA tulikuwa tunaipaka OIL CHAFU. Siku hizi hata kinyesi cha Ng'ombe kule Moshi wanatengenezea gesi (bio gas), nacho ni dili pia. Wajerumani maji ya kuflashia chooni yanachujwa yanarudi tena mtaani kwa matumizi mengine. Unapotuambia hii ni OIL chafu, haifai, tunaweza kukupa utitiri wa matumizi yake.

By Bwana Mushi

Tags

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Duh!Hiyo ya Wajerumani kuwa maji ya ku flash chooni wanaya recycle na kutumika tena hii sio kweli mimi ninaishi hapa Ujerumani miaka kibao na sijaona wala kusikia hiyo fantasy ulioiandika hapo juu usiwapotoshe watu kwa habari za uongo ujue kuwa watu wengi nje ya nchi wanaozisoma hizi habari

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wastewater treatment and recycling is a world wide technology. Hata bongo zipo, tunatumia Upflow Anaerobic Sludge Blanket (UASB). Huko ujerumani unafanya nini? maana hata watunza bustani walijua hili haliitaji shule

      Delete
    2. Weanonymous1:13 uko German kwa muda gani mpaka usijue kitu basic kama system za maji? Kwat hiyo ukinywaga maji ya bomba huwa unafikiri nini? Kwa taarifa yako ndio UASB.Kama huna la kuongea si lazima uchangie hoja.scheise

      Delete
    3. Nakushangaa wewe unaishi Ujerumani hujui hilo, sie tunakuja na kuondoka tunalifahamu. na kuna mipango mingi Ujerumani wanasapoti miradi ya namna hiyo. Maji ni bidha adimu sana inabidi itumiwe kwa uangalifu. Hata Bill Gates ameingiza fedha kwenye miradi hiyo na alikunywa maji yaliyotokana na maji taka. just google and you will see.

      Delete
  2. Nadhani amesahau labda amekusudia Singapore

    ReplyDelete
  3. sio kupotosha mbona tunatumia sana kwenye mbao? je wewe uko wapi? kuna matumizi mengi ya oil chafu subiri au kama unahitaji sema tukuandikia ukirudi nyumbani uje utumie.

    ReplyDelete
  4. Wastewater treatment and recycling siyo Ujerumani tu, hata bongo zipo za kutosha, mtafute prof. mato wa ardhi university, ameienga UASB nyumbani kwake, ana-recycle maji taka. Hiyo ujerumani unayoishi wewe ni Ujerumani ya Tabora, kitongoji kilichopo kijiji cha Kilungu wilaya ya Uyui, huko kweli bioreactors hakuna.

    ReplyDelete
  5. Ahaaaaaaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad