Mgombea wa Urais wa Ukawa Edward Lowassa pamoja na mgombea mwenza Juma Duni Haji leo wamewashitukiza wafanyabiashara katika soko la Tandika jijini Dar es salaam.
Aidha, wagombea hao waliwasili katika soko hilo asubuhi ya leo ambapo shughuli zilisimama kwa muda.
Kabla ya kuanza mazungumzo na wafanyabishara hao,Lowassa alikaribishwa chai na mmoja wa wafanyabiashara katika soko hilo.
Ziara hiyo ya kushitukiza iliyoanzia Mbagala siku ya jana ni maalumu kwa lengo la kuzungumza na wananchi wa hali ya chini kuhusiana na matatizo yanayowakumba katika maisha yao ya kila siku.
Je, Unataka kufahamu kesho Lowassa atakuwa wapi? Endelea kufuatilia mtandao huu.
Saaaaaaaaaafiiiiiiiiiiiiii uongozi ni vitendo sio maneno weeeeeeee na mipasho
ReplyDeleteTupo nyuma yako baba yetu lowasa uje utukomboe Mzee wetu Mungu wetu akulinde na kukupigania uishi maisha marefu
ReplyDeleteNdio our next president.People Power
ReplyDeletemzee E.Lowasa nakukubali haijawahi tokea hivi-toka nyerere,sijui makapa,-God Bless u baba.
ReplyDeleteThe becoming president wish u success
ReplyDeletesaaaffiiiii saaanaaaa mkuu!! Mungu akibariki wewe ndiye kiongozi!
ReplyDeleteTuache ushabiki jamani,swali-Huyu mheshimiwa angepata tatizo lolote ingetafsiriwaje?
ReplyDeleteBila shaka wangetupiwa lawama wana usalama,Sio vizuri amefanya mzee wetu,alitakiwa awahusishe vyombo vya dola kama alivyoita wanahabari.
STAILI HII HAKUNA BARANI AFRIKA NA ANGALIA KWA KUWA KIKWETE ANAPIGANIA ANGUKOO KUU TAYARI AMEMWAGIZA KOVA APIGE MARUFUKU MAWASILIANO HAYA NA UMMA WA WATANZANIA WALIOKWISHA AMUA.MHE.LOWASSA ENDELEA KUTUTEMBELEA HUKU TULIPO NA TUNASEMA USHINDI WAKO OCTOBA 25 ULIKUA ASILIMIA 87 sasa unapanda tuna HASIRA HASIRA HASIRA USHINDI WAKO SASA NI ASILIMIA 91.NI HIVI PINGAMIZI TUNAONGEZA POINT.ETI LOWASSA ADHURIWE WEE KOVA YAANI KUMBE NA WEWE NI BATA MZINGA KWELI KWELI.WALINZI WA LOWASSA NI SISI RAIA NA TENA BASI ULINZI KAMA UKUTA WA BERLIN.KIKWETE SISI NA WEWE
ReplyDeletekazi kweli kweli mm najiuliza tutafika kweli naona kwa hali hii maisha ya mtanzania yatazidi kuwa magumu watanzani tunapenda ushabiki tu kwetu kibaya huwa kizuri na kizuri huwa kibaya mambo yetu kinyumenyume na kupenda misifa ya kijinga na kujitia utafauti ili na wewe uonekane tofauti hapa jamani hatujengi nyumba tunajenga nchi kama tunajenga nchi tusibahatishe tusiseme pengine tuseme huyu ndie rais anafaa na kafanya kazi nzuri kwa kulilia na kusimamia maendeleo ya wananchi tusikubali maonyesho ya kampeni tutazame ubora wa utendaji kazi hapo nyuma coz hawa wagombea wote walikuwa viongozi wetu tujiulize yupi alijitoa katika kusimamia maslahi yetu kisha ndo tuangalie sera kwani unaweza kuwa na sera nzuri ukashindwa kuzisimamia yakawa ndo yale yale tunataka rais msimamizi na mkali na mwenye kujizatiti ndo tutapiga kwani mm naona hawa wanasiasa wingi waongo wizi na matapeli mm naona tukipata mtu kama huyu hata makatibu wakuu wataipa hawa ndo wanazingua zaidi katika serikali za kiafrika.
ReplyDeletehahahah................................................................\
ReplyDeletewanadanganyika hahahahahahahahh
h

ReplyDeletePambana baba. Safari ni ya uhakika usijali.
ReplyDeleteNa NI kweli yote August 26, 2015 at 10:54 AM aliyosasema. Asante sana kwa kuyaweka BAYANA
ReplyDeleteWakiendelea KUWAKATAZA UWANJA, KUZUIA MABADILIKO - BASI CHOCHONDE CHATI YA EL, ITAENDELEA KUPANDA!! MPAKA 99.9% MAGUFULI UKIMWACHIA TU DAKIKA 2, ATAKUWA UKAWA!!