Ni zamu ya Nay wa Mitego kaonesha kumsupport Mgombea wa Urais 2015…

Mwaka huu ni headlines za Uchaguzi 2015 tumeona baadhi ya wasanii wameonesha kutoa support kwenye kipindi hiki kwa wagombea Urais wawili ambao ni John Pombe Magufuli atakaegombea CCM na Edward Lowassa kupitia CHADEMA.

Miongoni mwa wasanii waliojitokeza na kutangaza rasmi kumsupport mgombea Urais kupitia CCM, Dkt.John Pombe Magufuli, kuna Wema Sepetu, Batuli, Snura, Linex, Steve Nyerere, Diamond Platnumz, Shetta, Barnaba,Bushoke, Kysher, Wastara na wengineo huku mwigizaji Aunty Ezekiel na Jackline Wolper wanamsupport Edward Lowassa na sasa ni zamu ya Nay wa Mitego.

Nay wa Mitego anamsupport Edward Lowassa kayaandika haya….>>>>Huwezi zuia Mvua ikiamua kunyesha inanyesha tu! Tuna Imani na Lowassa. Ccm wote bado wana Imani na Lowassa hata Kura za Urais ni kwa Lowassa.Nilikua sipost chochote coz Nilikua nataka nisikie CCM labda wana jipya juu ya sera yao mwaka huu coz upinzani umekua mkali, wangenishawishi kidogo. Dooh ndo wameongeza uozo mara dufu.Watanzania wameamka si kwa uongo ule wa jana 😂😂 Milioni Hamsini kila Kijiji. Tanzania ina vijiji vingapi? Piga Hesabu ya haraka kadilia, si chini ya bilioni 600 na zaidi.Watanzania sio mazoba kiasi hicho tumeshtuaa…Hamjajipanga mwaka huu mmetukosa..#Mabadiliko2015


Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. MMMMMHHHH HILO NALO NENO

    ReplyDelete
  2. Watu wenye akili kubwa utawaona tu! Ningemshangaa kama angekuwa side ya wenye akili ndogo

    ReplyDelete
  3. Hata nyie mna akili ndogo vile vile nikama ku mlazimisha kila mtu awe muislaam maana dini nyingine makafiri,,, Naipenda Ukawa,,,, ila Lowasa big no,,,,, Naichukia CCM. .ila Magufuri nampa kura yangu,,,, Ney ana haki yskupenda chama chochote ndio maana kukawa na vyana gya upinzani,,, huwezi kumbadili mpenzi wa yanga kuwa simba hatakama wanagungwa goli 10. Heri yenu ukawa mna akili mtosa Dr slaa kwa uchu wa ikulu.

    ReplyDelete
  4. Nay na wewe subiri muisome namba,Kura kwa Magufuli
    ndio mpango mzima.

    ReplyDelete
  5. HAHAHA NAPITA TUU...SIASA MCHEZO MCHAFU.MUNGU IBARIKI TANZANIA IWE YA AMANI DAIMA.

    ReplyDelete
  6. Ney usitishwe na vijimaneno vya wabongi wapunbavu ambao akili zao zimelala na ushabiki wakijinga badala ya kuangalia Sera za ccm na mile walicho kifanya miaka hamsini yote na bila kuangalia Sera za kidhetani wanazo zitoa sasa kweli nyie mnao shabikia ccm mmelogwa nani aka serekali ipi inaweza to a milioni hamsini kilakijiji kama uwo so uwongo ulio pitiliza pia magofuli anavyojifanya kushangaa ya serekali take yeyr hakuwa kwenye vikao vya binge kuona ushenzi Wa serekali take pindi ukawa wanapiga kelele na kutoka nje kutetea sekta ambazo hazija Fanya chochote yeye Leo ndio anajua serekali inatoa pesa za miradi zikija chini zinaliwa na mawaziri husika wakishiriki alikuwa haoni au mbona nae alikuwa shabiki mandazi bungeni kuongea pumba Leo atudanganye watanzania tunaitaji mabadiliko ya uwongozi tunaitaji chama kingine kushika dolatuone je watabadili huu mfumo Wa ugandamizaji wakishindwa tunawatoa ccm laxima ifike mahala iyone tunauwezo Wa kuiyondoa madarskani na kuirudisha vilevile sow sio mnatoa comment za upururu hapa kwa ushabiki kunguni nyie mnao taka watsnzania wenzenu wazidi kundamizwa rudini darasani hizo akil zenu finyu zifunguke ili mjue mnacho kiandika

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad