Nisha: Natamani Kuzaa Tena Ila….

Staa wa Bongo Movies , Salma Jabu ‘Nisha’ ambaye ni mama wa mtoto mmoja kiutani utani  amefunguka kutamani kuzaa ila anahitaji ushauri azae na nani.

Nisha ambaye kwa sasa yupo nchini China, alitanhaza nia yake hiyo kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa Instagram.

"Mwaka huu mastaa wengi wamezaa  na mimi nimetamani kuzaa tena dah.. lakini wakuzaa naye sasa nanii ...  sponsor ana mkewe
gandalandizi?? atanifilisi...

Pls nishaurini jamaniii nna hamu kweliii...Niolewe na kuzaa na sponsor anipe kila nnachotaka Ila kulala kwa mkewe,au kaserengeti boy nimpe kila anachotaka nikifulia atoke nduki??".
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. karibu nitakupa mimba. lakini mimba ninazompatia msichana zinakuja na watoto 4 (quadruplicates) - nitakusaidia sana matunzo lakni. sugar..d!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad