Nuh Mziwanda Afunguka Makubwa Amtuhumu Idris wa Big Brother Kumsumbua Demu wake Shilole

Picha limeanzia kwenye post ya Instagram ya mshindi wa Big Brother Africa Hotshots, Idris Sultan ambayo aliweka picha ya girlfriend wake Samantha wa Afrika Kusini.

Miongoni mwa watu walio comment kwenye picha hiyo ni pamoja na mmiliki wa ‘moyo’ wa Shishi Baby, Nuh Mziwanda ambaye alimchimba ‘biti’ Idris, akidai kuwa amekuwa akimsumbua mpenzi wake Shilole kwa kumtumia ujumbe ambao hapendezwi nao.

“Nikianza kumsumbua demu wako, kaam unavyomsumbua wangu utafurahi, nimekuvumilia sana bro, sasa imekuwa too much, tuheshimiane @idrissultan msg zako sijazipenda.”


Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huyu mtoto mdogo alikuwa mpiga picha mshamba wa wananawake toka alipokuwa katka ukumbi wa Big Brother sasa katoka anapapatikia wanawake hovyo, aspotizama atamaliza vihela vyake alivyopata na akaukwaa umeme. Huyu si msanii ni bora tafute kazi au biashara afanye siyo kuapatikia mishangingi ya Bongo Fleva na muvi hawawezi.

    ReplyDelete
  2. Una uhakika na maneno yako acheni uzushi Nuhu nae atukie watengeneze safina na Zuwena wake ebooo.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad