Nuhu Mziwanda Ameshindwa Kuvumilia na Kuamua kumfungukia Wema Sepetu Ambaye alihusika kusambaza Audio ambayo Nuhu Mziwanda anasikika akimtongoza Wema....
Kaandika Haya Hapa:
'Nakupa hongera kwa kufanikiwa kutoa amani katika mapenzi yangu mimi Na zuwena'maana hukua na nia njema wewe pamoja na team yako'na hata kama ingekua kweli ungemfata pembeni zuwena na kumweleza kua bwana ako anantongoza na sauti zake hizi hapa'lakini ukaona sio ishu na kuachia mitandaoni'mradi kuniaibisha mimi pamoja na na huyo unaesema unampenda sana na ni shoga yako'kingine Wema umetongozwa na wangapi hapa duniani kwann usiweke Voic note zao?yani moja kwa moja umetaka kusambalatisha mapenzi yetu na now naona mnaanza kutumana kumtongoza shishi'well madam nakupa salute zako'najua unaishi kwa amani na raha 'ila huku umekiwasha mpka mtu unakua hauna amani ya moyo na ukizingatia sijawahi hata kukaa na ww tukapga stor wala kuona undani wa mwili wangu'kipindi una kampeni uling'ang'ania sana niingie kwenye group yako ya whatsup for supporting you'kumbe unanichekea kinafiki na ulikua na mabomu yako umeyapanga kuyalipua 'sawa mama angu ila mimi nimetoa ya moyoni mwangu kwako na naamini ujumbe utakufikia mana nimeshindwa kukaa na duku duku'sisi wote binadam na hatuna garantee ya kuishi'salute kwako kwa ulichofanya' Mziwanda
Nuhu Mziwanda Amshutuma WEMA SEPETU Kwa Kuvuruga Uhusiano Wake na Shilole Kwa Makusudi...Aandika Haya Kwa Uchungu
16
August 11, 2015
Tags
sasa huyu Nuhu analalamika nini? au anaona aibu bado? si akae kimya tuu ndio Wema anatongozwa na wengi ila yeye hakumpenda tatizo liko wapi.
ReplyDeleteI knooowww, huyu jamaa bwana. Kwa kweli bado ni bwana mdogo sana. Akili ya kitotoooooo dah
Deletehuyu wema mshamba sana hii akiliyake yamatope ndio iliyomnyima hata kura zamaoni singida sijui atajifunza lini kua km kiongozi mtarajiwa Badilika km bado unataka kua kiongozi
ReplyDeleteNuhu wacha kutafuta kiki, umechuchuliwa unaona aibu.
ReplyDeleteYaaaa jamaa anaona aibu halafu pia bado ana akili ya kitoto. Kwani kukataliwa si jambo la kawaidaaa.......kwani alitegemea kumpata???
Deletehata ukimsema Wema unafikiri anajali, yake yanamuendea wewe tafuta jimama lingine likulee.
ReplyDeleteHujambo kwanza mazeeeee, kwa kweli Wema hakufanya jambo la busara isitosh hakufikiria hasara itakayo tokea baada ya yeye kutowa mkand huo, na si kwa Nuh na Shishi bal kwa kil mtut yeyot ingelet matatiz ndan ya mapenz ao ndoa. Ila kwa upande mwingin kafany vizur alipend kuonesh wat na Shish kwamb hata yuko pamoj na Nuh jamaa yuk nae kimaslah fulan anajua Nuh mwenyew. Vijan wasik hiz bnana ni balaa achen mapenz ya maslah mpend mpenz wak namoy wadhat.
ReplyDeleteHonger Wema kwa kumshtua Shish kwan Nuh hampend ila anakit ambach yemwenyew anadhamiria hapo, akish kifikia basi Shish hatamuon tena. Na hiyo ni onyo kwa wale wapend pend kwan tamaa zimekithir hakuna tena mapenz ya kweli. Ungekua unampend hungetoa yal manen mazito kwa Wema kwanza umemuaibisha Shish. Sasa we Nuhu vuna sasa ulicho kipanda na siri imefichuk kwamba haumpend Shish ila kuna kitu unadhamiria. Shish kua makin nahuy et ni mpenzi wak utakuja shangaaa wakat Wema alish kuibia siri hapo ni we mwenyew kujua utakalo fanya.
ReplyDeletemshamba limbukeni wewe Aniny 11.54. kama ni kura hata Lowasa na migiro hawakupata, funga bakuli lako kwakuwa kamkataa Nuhu ndo mshamba? angemkubali je ungemuita nana hayawani mkubwa we.
ReplyDeletewema ni mshamba mbona asiwaweke na wengine wanaomtongoza nakumpiga miti demu mshamba sana so nuhu ndiye wakwanza kukutongoza?fala wewe demu tatizo lako unajiona ni wewe tu kisura wa tz nzima ushapigwa miti na wanagpi hadi hilo li k lako linatisha? achaga ushamba nyau wewe.😎
ReplyDeleteAcha ujinga wako wewe Anonymous 1:58 PM. Wema alichokifanya ndio hasa kinachotakiwa kufanywa na hao masharobaro. Wewe kama ni kweli una demu wako na kila siku matangazo eti mnapendana, sasa ni kwa nini uende ukakate pande kwa demu mwingine??????? Sasa maana nzima ya hayo matangazo ya huyo Nuhu na Shishi kuwa eti wanapendana ni ya nini?????????????? Hao mabwana wadogo wasiokuwa na akili ndio njia pekee ya kuwakomesha......Big Up Wema.
Deletewewe Anoy ndo mshamba fukara wa dunia hii, kama wakati Wema kapigwa miti wewe ulikuwa unamsaidia ili asiumie na ukasahu uliingizwa mti na wewe! hebu jiangalie nyuma ulivyoharibika si bora Wema anajua kukataa kuliko wewe chamvi la wageni.
ReplyDeletewe vipi kha! Anony 1.58 PM. kuna mwanamke asopenda kupigwa miti? mama yako kapigwa miti na wanganpi mpaka humjui baba yako halisi itakuwa Wema? kajambe kuleeeeeeeeeeee.
ReplyDeleteKILA BINAADAMU ANAPIGWA MITI HATA MIDUME KAMA WEWE 1.58 pm. NI MMOJA WAO, UNAMSHANGAA WEMA? MAAJABU YA DUNIA.
ReplyDeleteHe! mwenzetu unapigwa nini bomba au xxx, na hiyo K. hata bibi yako mzaa mama yako nayo imeshachakaaa nyanganyanga, si bora ya Madamu haijatoa hata kichwa cha mtoto unachekesha majnuni weee-
ReplyDeleteKukataliwa nomaaaaaa
ReplyDelete