Picha ya Mtoto wa Diamond Akiwa Amefungwa Kitu Cheusi Mkononi yazua Mabishano Instagram...Wengine Wadai ni Hirizi


Kwenye Page ya Instagram @udaku_Special Tulipost picha hiyo na kuuliza hili jambo ?

Eti jamani hicho hapo mkononi kwa mtoto Tiffah ni nini?
Kuna mabishano eti wengine wanadai ni hirizi? Mie nimebisha aisee kwa udhungu alio nao mama ake sidhani kama anaamini hayo mambo!! Embu nijuze basi...

Majibu ya Wadau yalikuwa Haya:

mossyfimbo
Hiyo sio hirizi ni kitu kina itwa MVUJE unaufunga kwenye kitambaa cheusi kisha wamfunga mtoto mkononi ni imani tu kuwa mtoto asisumbuliwe na mapepo machafu kwa kuwa unanuka vibaya unaharufu mbaya sana kwa hiyo pepo chafu au baya haliwezi kumkaribia mtoto ni imani za miaka nenda rudi sasa kaka bibi kamfunga Dai au Zari hawezi sema chochote lakini ukifunga kwenye kitambaa ile harufu huwezi isikia kabisa. Hata mimi nilisikia kwa wazazi wangu nami na copy kuandika hapa labda kuna mwingine anajua kwa maana tofauti.

mbucheche
 mwambie mlinzi ni mungu tu na si vya kutengenezwa na wanadam yeye ndio mwenye nguvu zote na kila goti linapigwa mbele zake .

yohanampenzume
mwenyewe iliiona nkajiuliza kumbe bado watu wako kwenye digital huku wakiishi kianalogia??? @udaku_special km wanaamin uchawi na wa wana ela si waajiri waganga wa sumbawanga na tanga wakae kumlinda mtoto?? NI WAZO TU MAZEE MXJENGE CHUKI

mbucheche
mbona wengine hawavalishwi na wamekua jaman tuachage haya mambo ya kumsubstute mungu na kizizi huezi ukasema unamtegemea mungu huku unavaa vitu vingine sasa hapo imani si inakua hapo kwenye icho kidude badala ya mungu.tunahitaji tuwe wa kwel kama tunajiita tunamwamin mungu tusimfananishe na kitu.kama unamwamini amini kama unaamin kizizi basi kiamini.

mabuttocks
Jamani sio hirizi, watoto wengi wanasomewa sura tul yaasin afu anafungiwa mkononi iwe ina mlinda. Wanaosema hirizi ndo wenye imani potovu

mbucheche
 hao wanavitoa wapi mnajua au mnavalisha watoto tu bila kujua kwa iyo icho ndo kinamlinda badala ya mungu ambae tunasema tunamwamini kumbe tuna yetu mengine.watoto wanakua bila kuvalishwa icho kidude mbona?


mbucheche
 waambie yani badala ya kuwapeleka watoto wakaombewe kwenye nyumba za ibada mnarelax na uo upupu kwel tunapotea kwa kukosa maarifa hee.

datimaa
Mungu pekee ndie anaetulinda hvo vitu vingine ni ziada@mbucheche


saidastambul
 Wasenge wte mnaojifanya hamjui mvuje halafu watu hawa ni wanafiki ajabu eti ushirikina?umejua je?kama ni shirikina?kama ww sio kiongozi mungu awauwe nyote wanafikii

 nasriyathabit_alkhanan
ata watoto wa mashekhe wanavaa mivuje
Watu wengne wanataka 2 umbea wkt hiko kwa tz makabila meng umfunga mtoto akiwa mchanga nais ata wao wenyewe walfungwa now wanajfanya wamekua wanashangaa fyuu

amonizabroni
 Maana kila mnachokiona mnadis ..kwetu kigoma mkitaka kujuwa maana yake njooni kigoma

Je wewe Una Maoni Gani?

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. acheni kujifanya wazungu mbona kawaida tu,kunadua zinaandikwa nakufungwa km hivyo siokilakitu ni uchawi tu'-Ebo!!!

    ReplyDelete
  2. Kama kuna mtu amewahi kuwa na mtoto hawezi kushangaa kingine ni kwamba hiyo sio irizi na kama kuna mtu ambaye hajawahi kufungwa hiyo ishu kati ya walio comment aseme co kwa kejeli

    ReplyDelete
  3. Mbona mnapenda umbea nani asiejua mvuje

    ReplyDelete
  4. Jamani huo ni mvuje kwa ajili ya mtoto kushtuka shtuka anapokua mchanga, Kiukwei wamama ndo tunajua hayo mambo sana mana usiku hatulali watoto kushtuka. MImi ni mpare kwetu hakuna ila niliwahi kuishi bagamoyo mtoto akawa anashtuka sana nikapewa nimfunge niliogopasana nikwamwuliza aliyeniletea ni wifi yangu kwani haiwezekani kufungwa na kitambaa rangi nyingine akajibu cheusi tu. Sasa naona tuchukue kama sehemu ya dawa kwani hata ukiumwa homa unakunywa dawa na kumuomba mungu azisaidie kwa hiyo kuweka mvuje si kwamba ndo mlinzi wa mtoto

    ReplyDelete
  5. MAMBO YA NGOSWE MWACHIE NGOSWE MWENYEWE!!!

    ReplyDelete
  6. Hiyo hata kwetu Sumbawanga ipo sana wala sio uchawi bali ni kinga tu za watoto za kimila

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad