Rafiki Yangu wa Kike Ananishawishi Niingie Katika Mapenzi ya Jinsi Moja (Usagaji)

Mimi ni Msichana wa makamo tu nimeolewa miaka miwili sasa na nina watoto wawili , nafanya kazi kwenye kampuni moja kubwa tu hapa Dar es salaam , hivi karibuni nimekuwa na rafikia ambae tuna fanya nae kazi hapa ofisini ambae nimekuwa nikimwelezea matatizo yangu na mme wangu kuwa aniridhishi kitandani....cha ajabu aliniambia kama ninataka kuridhika bora niingie katika usagaji ..cha ajabu aliniweka wazi kabisa kuwa yeye huwa anasagwa na huwa anasikia raha sana kiasi wanaume si deal kwake ..Toka aniambie hivyo kila akija ofisini kwangu ananibusu na kunikumbatia kwa nguvu...Juzi alitaka kunivua chupi nikakataaa kabisa kwani bado hainiingiii akilini kufanya mchezo huo na msichana mwenzangu ....japo kwa upande mwingine natamani kujaribu ....Naomba ushauri nifanyaje....No matusi pliz

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ukijaribu hutaacha ni sawa na kujisugua mwenyewe unanielewa?

    ReplyDelete
  2. Kwanini unatuambia mumeo hakuridhishi? mna watoto wawili na hulijui tatizo la mume wako? pumbafu sako! mbona husemi kama mume wako naye anado nje au naye anamume mwenzie? nenda kakae na mume wako mzungumze kila kitu na kama hajui si ufundishe? laah sivyo ukisagana hatari na hutaacha maana utatundika mzinga.... ukionja asali.... kisha wewe unaona ni tamaduni za kiafrika? kwanini kwanza usitoe taarifa za kudhalilishwa na mwanamke huyo anayetaka hadi akuvue chupi? kampuni kubwa ndio...... lakini kizazi cha nyoka.....! kazi kuiga mambo ya kimagharibi na kutueleza upuuzi ! kaa chini tulia na mumeo mwongee au usome majarida na uende kwa wanasaikolojia au madaktari pamoja na mumeo!.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad