Rais J.Kikwete Kumjibu Lowassa Kwenye Shughuli za Kiserekali ni Sahihi..Au Amepaniki?

Ipi mipaka yake anapokuwa kwenye shughuli za kiserikali? Ni sawa kuitupia madongo upinzani wakati akiwa kwenye shughuli za kiserikali? Kwa nini asisubiri ajibu akiwa kwenye shughuli za chama?Je,huku ni kupaniki?

Ilikuwa ni siku ya jana, katika viwanja vya mnazi mmoja katika tukio la Wizara ya Ujenzi na wakandarasi wakimuaga Kikwete kwa kumaliza muda wake wa miaka kumi wa kuongoza nchi. Na hapo Kikwete akaanza kumsifia Magufuli kiCCM kiCCM na kwa woga, aibu na kujihami kabisa akasema kimafumbo kuwa MAFURIKO YA LOWASSA yanayoendelea kuitikisa nchi kwa sasa ni MOTO WA MABUA TU, hautadumu hata kidogo.

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mwaka huu ni mwaka wa mageuzi CCM miaka 50 basi lazima tufanyi change

    ReplyDelete
  2. Miela iliyoibiwa kwa ufisadi zingetosha kununulia mashine za kusambaza maji nchi nzima

    ReplyDelete
  3. Kila aliko Magufuli Kikwete yupo, anaogopa akimwachia kidogo tu basi Magufuli ataenda ukawa

    ReplyDelete
  4. Mwache aendelee kuota kwamba ni moto wa mabua.

    ReplyDelete
  5. Nilimwonya rafiki yangu tangu kikwete anaingia kwamba ni mswahili asiyekuwa a lolote jipya: nguvu mpya iko wapi?

    ReplyDelete
  6. Rais amepaniki lakini anatakiwa mtu wa kumsaidia kifikra na kimawazo kwani kweli ukiangalia mafuriko ya lowasa utaogopa ila hakuna kitu hapo ni moto wa mabuaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  7. Sawa Moto Wa Mabua,hivi sasa unaendelea kwa kasi ya ajabu Kuliunguza Gazeti la Uhuru,jamani Kumbe ni Karatasi Laini,Tepetepe,Mbendebende.MOTO HUO WA UKAWA.Maskini Uhuru Limegeuka TAKA.Upepo wa UKAWA unavuma kwa kasi ya Ajabu Hizooo TAKA ZINASAMBARATISHWA.MHE.LOWASSA RAIS WETU MPYA TANZANIA

    ReplyDelete
  8. Rais J.Kikwete Kumjibu Lowassa Kwenye Shughuli za Kiserekali ni Sahihi..Au Amepaniki?

    ReplyDelete
  9. WATANZANIA SIKILIZENI.KWA MARA YA KWANZA MPENDA SAFARI NAMBA MOJA LEO JUMANNE TAR.18.8.2015 AMESHINDWA KWENDA GABERONE KUWAAGA VIONGOZI WENZIE SADCC.SABABU;MAJUKUMU MAZITO NYUMBANI.UKAWA .MPO?HUO NDIYO MWANZO WA KIPIGO CHA MBWA KOKO CCM. YAMEWAFIKA.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad