Ridhiwani Kikwete Kaiweka hii Video ya Lowassa na Kuandika Haya Maneno.

Hii ni post ya Ridhiwani Kikwete kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Twitter, aliiweka hii video ya Edward Lowassa na kuandika ‘Raha ya mja kunena, kwa muungwana ni vitendo ushahidi tosha kuwa mgombea wa CCM anakubalika na ni bora kwa kazi’

Kwenye page yake ya Instagram aliweka video hiihii akaandika ‘Ni thawabu pia kutoa sifa na ni dhambi kutokubali mema yanapofanyika, hongera sana mgombea kwa kuyaona mazuri yatendekayo na mtendaji wa hayo, ‪#‎Magufuli2015 #‎MzikiwaMagufuliUtauweza?

Lowassa 1Hii ni post ya Ridhiwani Kikwete kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Twitter, aliiweka hii video ya Edward Lowassa na kuandika ‘Raha ya mja kunena, kwa muungwana ni vitendo ushahidi tosha kuwa mgombea wa CCM anakubalika na ni bora kwa kazi’

Kwenye page yake ya Instagram aliweka video hiihii akaandika ‘Ni thawabu pia kutoa sifa na ni dhambi kutokubali mema yanapofanyika, hongera sana mgombea kwa kuyaona mazuri yatendekayo na mtendaji wa hayo, ‪#‎Magufuli2015 #‎MzikiwaMagufuliUtauweza?


Kwenye hii video Lowassa anasema >>> ‘Namsifu sana Dr. Magufuli kwa kazi nzuri aliyofanya, kazi nzuri sana ya barabara, nzuri sana‘

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Bwana Ridhiwan,mimi ni mkazi mwenzio wa Mikocheni.Nakujua sana,na,nitakuanika kwa ukweli mtupu Ewe Mwenyezi Mungu Nisaidie.Mtuhumiwa Mkuu wa EPA Bw MAKOBA alikuzawadia gari Mpya BMW[Picha ninayo] ili umlinde kabla Hajakamatwa.Sasa suali JEE Umefikia wapi katika kulivuruga shauri hili? Nijibu Tuendelee.Yapo Bado Maswali 25

    ReplyDelete
  2. Tuombe na Mungu atawaunganisha Lowasa na magufuli wafanye kazi kwa pamoja kutetea Wa-TZ
    kutoka kwenye umaskini.MUNGU IBARIKI TZ.

    ReplyDelete
  3. Matumbo moto!!! Ridiwani na Baba yake wana majibu ya kujibu baada ya uchaguzi

    ReplyDelete
  4. Hakuna asiyejua kazi alizofanya 'mzee wa data', hata hao ukawa hizo barabara wanaziona ndio humo wanapotembea na ndio humohumo wanakopata nafasi yakutolea jeuri zao. Wanaisoma kimya kimya.

    ReplyDelete
  5. Huyu dogo anaota kuwa waziri,wewe muache kibao kimgeukie.

    ReplyDelete
  6. Magufuli rafiki Mkubwa wa Mkapa aliyewakilisha jina lake la Mfukoni kwenye Kamati Kuu.Jee mnajua wananchi Magufuli alimzawadia Mkapa Bure Nyumba 3 Oysterbay [za serikali Mtwara Crescent,Msasani Road na Kenyatta Drive].Kauli za Mwizi Ridhwani aangalie na awe Mwangalifu ataozea Jela.

    ReplyDelete
  7. Hakuna asiyemjua jembe Magufuli hao wanajiita ukawa wanatembea kwa kazi ya jembe ivi lowasa kipindi chote cha uongozi wake kafanya nini maka atambe!!!!

    ReplyDelete
  8. We bwana mdogo kalale kazi tuachie sisi wana ukawa tunajua nani zaidi kati ya EL na Pombe ok!

    ReplyDelete
  9. GONGO PELEKENI KILABUNI SIO IKULU,
    IKULU ANAENDA EL

    ReplyDelete
  10. Anayesema lowasssa hajafanya kazi ni bora aache kutoa comments maana haelewi kabisa huyu jamaa anatenda vipi kazi.............na anyamaze haswaaaa maana hajielewi na labda amezaliwa kipindi ambacho hakuona alipokuwa wazir wa maji alifanya nini na alipokuwa wazir mkuu alifanya nini..... tuache majungu

    ReplyDelete
  11. Mema yanapofanyika tukayashuhudia ni busara kusifu na yale mabaya kuyakosoa. Labda niwarejeshe kwenye msemo wa baba yangu. Huwa anasema kwa kiingereza kuwa "Our life begin to end the day we become sillent about things that matter" maana ya usemi huu kwa lugha yetu ya taifa ni kwamba tusidiriki kufunga midomo yetu. Tuendelee kusemezana hasa ndani ya kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu hapo 25/10/2015

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad