Ridhiwani Kikwete: Sasa Kumekucha.... Nikiangalia Hiki Kikosi Naamini Kabisa Kuna Chama Kitamficha Mgombea Wake Ndani

Baada ya CCM Kutoa List ya Team Ambayo itahakikisha CCM inashinda Urais 2015 , Mtoto wa Rais Ridhiwani Kikwete Ameandika Meneno haya :

"Sasa kumekucha.... Nikiangalia hiki kikosi naamini kabisa kuna Chama kitamficha mgombea wake ndani ili wengine wafanye yale ya matumizi halali ya Madodoki ya Chuma .... Nani msiniulize. Huu ndiyo mziki wa Magufuli, sidhani kama Mtauweza"

Je Kwa Maoni yako ni Mgombea Yupi Atafichwa Ndani ? 

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. SAWA BWANA RIDHWANI NGOJA AWALI TUKUBENJUE CHALINZE.HAO WACHOVU 32 WAJIANDAE KUVUNJA MIKUTANO YAO YA KAMPENI KILA KONA NCHINI KWA KUIMBIWA KWA NGUVU ZOTE;TUNA IMANI NA LOWASSA OYA OYA OYAAAA.WIMBO ULIOASISIWA NA HALMASHAURI KUU YA CCM NA KIKWETE KUUPIGIA MAKOFI MAZITO.BABA LOWASSA CHUKUA NCHI 2015-2020

    ReplyDelete
  2. Mgombea atakayefichwa ni yule asoweza kuhutubia kwa zaidi ya dakika 20!!

    ReplyDelete
  3. PESA ZA KWENYE MAGUNIA NANI KACHUKUWA KAMA SIO WEWE

    ReplyDelete
  4. Huyu dogo bora ukae kimya sababu wewe ni bilionea kwa kipindi kifupi ulipokuwa mbunge,unawatia hasira wananchi wengi na huisaidii chama cha majambazi na hamna mtu anayekusikiliza labda wakware wenzio.

    ReplyDelete
  5. Huyu na nape ndio wanafanya watu waichukie ccm.maradufu.washafanya ccm ya wazaramo.fisadi namba moja

    ReplyDelete
  6. Funga kazi inakuja kwa Famili nzima ya Kikwete.Imani yetu ni kwamba kutokana na wizi wao,matumizi mabaya ya ofisi,kujihusisha kwenye biashara Haramu za wanyama pori,pembe,Madawa ya kulevya,RICHMOND,EPA,ESCROW,Wataishi kama famili kwa misukosuko mikubwa sana.JELA INAWAITA.NGOJA WANANCHI TUFANYE VYETUTarehe 25 Octoba 2015

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad