Selfie imefanya Wanaume Tushindwe Kuona Makalio ya Wanawake Kama Zamani


Mtakumbuka kipindi cha hapo nyuma kidogo ilikuwa kila mwanamke anayepiga picha basi lazima ajibinue nyuma atuonyeshe alilozawadiwa na Mungu.

Lakini hivi sasa habari ya mjini ni selfie tu, yaani wakipiga picha tunaishia kuona tu sura lakini nyuma hatukuoni.

Kusema ukweli, tangu selfie iwe habari ya mjini sisi wanaume tunaopenda makalio tumekuwa tukinyanyasika sana. Yaani ukiingia Instagram tunaishia kuona style za nywele na lips tu.

Tafadhali kina dada acheni selfie, rudini enzi zenu za kutuonyesha makalio ili nasisi wapenda makalio nafsi zetu zisuuzike.

Posted by: MCHUNGUZI HURU (Associate Professor)
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad