Shilole: Nikiiba mume wa mtu nisilaumiwe

Mwanamuziki wa miondoko ya mduara ambaye kwa hivi sasa anatumikia kifungo cha mwaka mmoja kilichotolewa na  Baraza la Sanaa Basata  ya kutojihusisha na shughuli za kisanaa mpaka mwaka mmoja, kitu ambacho kimemuumiza sana na kudai kuwa akiiba mume wa mtu atakuwa anakosea pia!
Akizungumza na paparazi wetu, Shilole alisema kuwa adhabu aliyopewa ni kubwa mno kiasi ambacho  anashindwa kuelewa kwa kuwa sanaa ndiyo kazi inayompatia kula na hata kuwasomesha watoto wake hivyo kumfungia mwaka mzima ni kama kumtuma kutembea hata na waume za watu  ili maisha yake yazidi kusonga mbele.

“ Mimi naona sasa wananituma kuanza kusaka waume za watu kwa kweli kwa sababu mwaka mzima kweli na ni kazi ambayo naitegemea kwa kila kitu katika maisha yangu kwa nini  mtu usiwaze vitu vingine kama huna kazi ya kufanya jamani, yaani inaniuma sana,” alisema Shilole.
Tags

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kwani nuhu mziwanda anafanya nini asikusaidie shishi si mpenzi wako nae ni msanii ansingiza au were ndio uliokuwa unamtunza nae pia poleee umeona umuhimu Wa kupata pesa na kufungua state duka tu kuliko kwenda kuuza sura ulaya master Wa bongo huwa hamsomi alama za nyakati

    ReplyDelete
  2. Huu ni mtihani na wakati mzuri kwako utulie ufanye Ibada kumrudia mola wako mwenyezi mungu hatupi mja wake riziki atakupa na utajiona ahue kuliko mwanzo sio kujitangaza Unatishia kubeba waume za watu ufunguliwe nani alikutuma si umalaya wako komaa na jiji nae huyo nuhu wako ulikuwa unalea tuu upate burudani ya faragha sasa ndo utajua ukipata pesa sio kulea midume isiyokuwa na faida kazi ulilishe kisa umenogewa ni mtihani huu sasa ndo wakumjua nani adui nani rafiki shida binaadamu kaumbiwa ukimaliza mtihani huu tafuta kina nuhu wengine kama watatu uwalishe wakutulize mzuka

    ReplyDelete
  3. Njoo kwangu nikupe maisha bora achana na nuhu mziwanda mchovu hana kitu

    ReplyDelete
  4. Waume za watu? mbona husomeki Nuhu hakutoshelezi? unataka kutuambia unataka kuishi kwa kuuza nyapu? pole kichwa box kama hilo zigo lako huko nyuma.

    ReplyDelete
  5. Huwezi kufanya kazi nyingine zaidi ya muziki,au tatizo la kukosa mtaji na kwamba wasanii mlio wengi mna tabia mkipata ni kutumia tu hukumbuki kesho?si ulikuwa unauza vinywaji wewe?imekuwaje.Na una uhakika ukichukua waume za watu watakuwa wanakupa pesa?UJINGA MTUPU.

    ReplyDelete
  6. Tako haliuziki hilo nuhu mtoto wa mjini kaligegeda sana, acha ujinga ungekua unakabiashara kengine kangekuingizia kumbe ulikua unahonga tu bila kutumia akili? du tulia wewe unaejiita shishi beby ushamba unakusumbua tu wewe

    ReplyDelete
  7. Schuld havo motor. Ndio maana option unayoiona ni kuiba waume zal watu kama malaya mashuhuri wema . Ukome kuvuavua nguo stejini na miziwa yako kaa malapa. No mvuto. Kwani yule nyuki maua vipepeo (nuh) na yy kafulia? Shilole ni kuku wa kienyeji halafu acha kuongea english. You sound sad. .Japange upya. München ziwa huyo mwanao Nuh halafu baki low profile baada ha mwaka urudi kwa kishindo.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad