Baby Madaha Katika Pozi |
Alisema sasa ameamua kuachana na maisha ya skendo za kila siku kwani aliumizwa sana na madai ya kutumia dawa za kulevya, kitu kilichomuumiza hadi mama yake mzazi.
“Ninajiandaa kuwa kiongozi wa kisiasa miaka ijayo, unajua hata wenzetu walioingia kugombea uongozi wa siasa na kushindwa, ilichangiwa na historia ya maisha yao ya kisanii, sisi ni watu wa skendo tu, nimejifunza kitu kutokana na hilo, nimeamua kuacha utoto, sitaki tena skendo,” alisema Baby Madaha.
Source:Globalpublishers