Steve Nyerere Aongea Maneno Haya Baada ya Kupigwa Chini Ubunge Jimbo la Kinondoni.....

‘Kwanza namshukuru Mwenyezi Mungu lakini niwashukuru Wananchi wa wiliaya ya  Kinondoni wamenionesha upendo ambao sikutarajia kwao, la pili sikubahatika kulishika gurumo hili la kuwa kiongozi na sitaweza kukata tamaa kwasababu hivi vitu vinahitajika uvumilivu kidogo,  siasa inahitaji kuwa mvumilivu na kila kitu kinachofanywa kama mwanadamu kinachotaka kupigiwa kura au kutafuta maisha ni uvumilivu unaohitajika kusonga mbele’ – Steve Nyerere

Kwasasa nipo kidogo mapumziko nikitafakari kuna yale niliyoyafanya na changamoto nilizozipata katika uchanguzi huo nimejifunza mambo mengi mengi ambayo kwangu yanatija kwa hiiyo kwangu ni changamoto kubwa sana’ – Steve Nyerere

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Pole Steve kuvunjika kwa mpini sio mwisho wa uhunzi jipange tena hata Ngosha Magufuli kwa mara ya kwanza aligombea ubunge aliukosa alipojaribu mara ya pili akapata ubunge na sasa kapata nafasi ya kugombea uraisi

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad