Kaka Ben nakusalimu!
Mtani wangu na kada mwenzangu chamani,pia Mwenyekiti wangu na Rais wangu wa zamani,natumai uko salama. Pole kwa mihangaiko na purukushani za kimaisha na za kikampeni. Kwanza nikupe habari kuwa mimi Mzee Tupatupa toka mkoani Ruvuma nimejiondoa kwenye timu ndogo ya kamepeni za Dr. Magufuli. Wewe na wenzako,na aina mpya yenu ya siasa za kejeli na 'mipasho' mmeniondoa kampenini.
Leo,sikuja kuchambua kilichosemwa Jangwani siku ya Jumamosi kwa ujumla wake. Nimekuandikia kukuuliza swali moja tu mtani wangu na kaka yangu Ben. Umesema kuwa chama au vyama vinavyojiita ni vya ukombozi, wakati ukombozi wa Tanzania ulishapatikana, ni wapumbavu na malofa. Ukasema kuwa ukombozi ulipatikana kwa harakati za TANU na ASP ambazo zimezaa CCM. Nimekuelewa kivyangu.
Sasa, kaka Ben, chama kinachojiita CHAMA CHA MAPINDUZI, wakati mapinduzi yalishafanyika huko Zanzibar mwaka 1964 na kwasasa hakuna mapinduzi mengine kinaitwaje na waliomo humo waitwaje? Tafadhali tuchagulie jina sisi wanachama na wafuasi wa chama cha mapinduzi ambayo kwasasa hayapo tena!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Kaka Ben Mkapa ni Mpumbavu na raisi Rofa aliyeshindwa kubadili maisha ya Wa Tanzania.. Asituletee ujinga wa Kirofa
ReplyDeleteRatiba ya lowasa;
DeleteTrh 24/08/15-kupanda daladala kukutana na wananchi
Trh 25/08/15-kupata chai kwa mama ntilie walioko mtaani
Trh 26/08/15-kwenda Tandale kubeba magunia.
Trh 27/08/15-kukutana na wachimbaji wa kunduchi na kufyatua Matofali
Trh 28/08/15-kwenda karume kuuza mitumba
Trh29/08/15-kufanya usafi kwa kusafisha mitalo na bararbara zilizopo
dsm
Tar 30/08 KULALA MWANANYAMALA WARD YA WAJAWAZITO.
31.8 Segerea kulala na wafungwa ajifunze shida zao
Dah, imewauma hiyo! yapo mapinduzi ya aina nyingi, mapinduzi ya viwanda, kilimo nk, kwa hiyo mapinduzi bado yanaendeleaaaaa
ReplyDeleteMleta mada pumbafu Na comment za kilofa CCM chama Dume
ReplyDeleteUkimuangalia sura yake tu jinsi ilivyo unajua kuwa huyo jamaa ana roho mbaya kishenzi fisadi wahedi yeye na mkewe
ReplyDeleteLWASA ameshakubali kushindwa atapigwa mpaka wamkumbuku SILAA
ReplyDeleteMKAPA NI MTU HATARI KABISA KWA AMANI UTULIVU NA UTANGAMANA WA TANZANIA.YEYE AMETUTUKANA SISI WATANZANIA KUWA NI WAPUMBAVU NA MALOFA SAWA LAKINI KWA UHASIA YEYE MKAPA NDIYE MPUMBAVU NA TENA MSHENZI MKUBWA.ILA YEYE SIYE LOFA KWA SABABU WAKATI WA UTAWALA WAKE ALIIBA SANA NA UPO USHAHIDI WA KUTOSHA WA KUMFIKISHA MAHAKAMANI HILO HALIKWEPEKI NA LIMEKARIBIA.HANA ADABU HANA HESHIMA NI MUHUNI NA HASTAHILI HESHIMA TOKA KWA JAMII YA WATANZANIA
ReplyDeleteAnonymousAugust 26, 2015 at 4:11 PM wewe na huyo baba ako ben hamjui kama upo ukombozi wa aina nyingi, upo ukombozi wa fikra, ukombozi wa kukandamizwa kwa wizi na ufisadi.... angalieni shilingi pande zote mbili
ReplyDeletehuyu kikwapa ni mlevi tuu ni ibu kwa tanzania kuwa alikua rais wa tanzania na kusema maneno ha kama hayo kwa watanzania,kweli inaonyesha ccm ni ni madikteta.
ReplyDeletehuyu kikwapa ni mlevi tuu ni ibu kwa tanzania kuwa alikua rais wa tanzania na kusema maneno ha kama hayo kwa watanzania,kweli inaonyesha ccm ni ni madikteta.
ReplyDeleteBora siye wapumbavu na malofa
ReplyDeleteYeye je alyekula makombo toka Basil mramba yaani mkewe Anna alikuwa bibi wa Basil Mramba kabla yake,
Ni mmoja anayepotosha Taifa.
ReplyDelete