Swali kwa Rais Mstaafu Benjamin William Mkapa

Kaka Ben nakusalimu!

Mtani wangu na kada mwenzangu chamani,pia Mwenyekiti wangu na Rais wangu wa zamani,natumai uko salama. Pole kwa mihangaiko na purukushani za kimaisha na za kikampeni. Kwanza nikupe habari kuwa mimi Mzee Tupatupa toka mkoani Ruvuma nimejiondoa kwenye timu ndogo ya kamepeni za Dr. Magufuli. Wewe na wenzako,na aina mpya yenu ya siasa za kejeli na 'mipasho' mmeniondoa kampenini.

Leo,sikuja kuchambua kilichosemwa Jangwani siku ya Jumamosi kwa ujumla wake. Nimekuandikia kukuuliza swali moja tu mtani wangu na kaka yangu Ben. Umesema kuwa chama au vyama vinavyojiita ni vya ukombozi, wakati ukombozi wa Tanzania ulishapatikana, ni wapumbavu na malofa. Ukasema kuwa ukombozi ulipatikana kwa harakati za TANU na ASP ambazo zimezaa CCM. Nimekuelewa kivyangu.

Sasa, kaka Ben, chama kinachojiita CHAMA CHA MAPINDUZI, wakati mapinduzi yalishafanyika huko Zanzibar mwaka 1964 na kwasasa hakuna mapinduzi mengine kinaitwaje na waliomo humo waitwaje? Tafadhali tuchagulie jina sisi wanachama na wafuasi wa chama cha mapinduzi ambayo kwasasa hayapo tena!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kaka Ben Mkapa ni Mpumbavu na raisi Rofa aliyeshindwa kubadili maisha ya Wa Tanzania.. Asituletee ujinga wa Kirofa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ratiba ya lowasa;
      Trh 24/08/15-kupanda daladala kukutana na wananchi
      Trh 25/08/15-kupata chai kwa mama ntilie walioko mtaani
      Trh 26/08/15-kwenda Tandale kubeba magunia.
      Trh 27/08/15-kukutana na wachimbaji wa kunduchi na kufyatua Matofali
      Trh 28/08/15-kwenda karume kuuza mitumba
      Trh29/08/15-kufanya usafi kwa kusafisha mitalo na bararbara zilizopo
      dsm
      Tar 30/08 KULALA MWANANYAMALA WARD YA WAJAWAZITO.
      31.8 Segerea kulala na wafungwa ajifunze shida zao

      Delete
  2. Dah, imewauma hiyo! yapo mapinduzi ya aina nyingi, mapinduzi ya viwanda, kilimo nk, kwa hiyo mapinduzi bado yanaendeleaaaaa

    ReplyDelete
  3. Mleta mada pumbafu Na comment za kilofa CCM chama Dume

    ReplyDelete
  4. Ukimuangalia sura yake tu jinsi ilivyo unajua kuwa huyo jamaa ana roho mbaya kishenzi fisadi wahedi yeye na mkewe

    ReplyDelete
  5. LWASA ameshakubali kushindwa atapigwa mpaka wamkumbuku SILAA

    ReplyDelete
  6. MKAPA NI MTU HATARI KABISA KWA AMANI UTULIVU NA UTANGAMANA WA TANZANIA.YEYE AMETUTUKANA SISI WATANZANIA KUWA NI WAPUMBAVU NA MALOFA SAWA LAKINI KWA UHASIA YEYE MKAPA NDIYE MPUMBAVU NA TENA MSHENZI MKUBWA.ILA YEYE SIYE LOFA KWA SABABU WAKATI WA UTAWALA WAKE ALIIBA SANA NA UPO USHAHIDI WA KUTOSHA WA KUMFIKISHA MAHAKAMANI HILO HALIKWEPEKI NA LIMEKARIBIA.HANA ADABU HANA HESHIMA NI MUHUNI NA HASTAHILI HESHIMA TOKA KWA JAMII YA WATANZANIA

    ReplyDelete
  7. AnonymousAugust 26, 2015 at 4:11 PM wewe na huyo baba ako ben hamjui kama upo ukombozi wa aina nyingi, upo ukombozi wa fikra, ukombozi wa kukandamizwa kwa wizi na ufisadi.... angalieni shilingi pande zote mbili

    ReplyDelete
  8. huyu kikwapa ni mlevi tuu ni ibu kwa tanzania kuwa alikua rais wa tanzania na kusema maneno ha kama hayo kwa watanzania,kweli inaonyesha ccm ni ni madikteta.

    ReplyDelete
  9. huyu kikwapa ni mlevi tuu ni ibu kwa tanzania kuwa alikua rais wa tanzania na kusema maneno ha kama hayo kwa watanzania,kweli inaonyesha ccm ni ni madikteta.

    ReplyDelete
  10. Bora siye wapumbavu na malofa
    Yeye je alyekula makombo toka Basil mramba yaani mkewe Anna alikuwa bibi wa Basil Mramba kabla yake,

    ReplyDelete
  11. Ni mmoja anayepotosha Taifa.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad