TANESCO Wamekata Umeme Sehemu Kubwa ya Nchi ya Tanzania, Leo 29th Aug 2015

Maeneo ya Moshi mjini umeme umekatwa tangia saa 3 asubuhi. Umeme umekatwa jijini Dar es salaam, na maeneo mengi nchini.
Yote Hii ni hujuma na mwendelezo ule ule wa kuinyonga demokrasia na kuwafanya watanzania kuwa watumwa miaka yote....

Je Kukatwa Huku kwa Umeme Kuna Mahusiano yoyote na Ufunguzi wa Kampeni za Ukawa Jagwani?
Tags

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Naichukia CCM
    Na wapenzi wake Kama Hitler Hitler Hitler
    Fuck you CCM

    ReplyDelete
  2. Na bado hata siku ya kuhesabu kura umeme watakata vilevile,,,,,, yewomiiiii october 26 rahaa sana.

    ReplyDelete
  3. Jamani acheni fitna tanesco sasa na siasa wapi na wapi sahivi karibu week wanatukatia umeme hawasemi kuna mgao au vipi yani hakueleweki.

    Kuna watu wengine wataanza kufikiria ukweli halafu wataanza kuchochea mengine.jamani hakuna furaha kama amani.tujivunie na amani yetu tanzania haya mambo madogo msiekuwa n uhakika nayo msichapishe kuchochea watu.

    Tuombe mungu nchi iwe na maskilizano na amani.nchi za wenzetu mnaziona jamani wanatamani kufa kwa mateso. Amani ikipotea kila kitu kitageuka ndoto. Kila mtu yuko free kuchagua chama anachokitaka uamuzi ni wake.haina haja ya tanesco mtu akiamua yeye ni ukawa au ccm hata umeme ukikatwa hicho hakitobadilisha uamuzi wake.

    ReplyDelete
    Replies
    1. mssssssscccccccchhhhhhhhhhh

      Delete
  4. hawa mabosi wa tanesco wanatumiwa na ccm jamani dawa nikupigakura ilitusafishe haya madudu

    ReplyDelete
  5. Zote hujuma zao, walivyofanya fiesta Yao nchi nzima palikua na umeme

    ReplyDelete
  6. Kwa asilmia nyingi hawa TANESCO wamekata UMEME makusudi km shinikizo la ccm.kwani wengi wao ni ccm si ndio ilowaweka hapo walipo ila wataisoma namba mwaka huu,kwa maana nyingine MALOFA wasiangalie LIVE Speach on their TELEVISION..shame on ccm-tanesco..what we need CHANGE baby...Ed. Lo to White house..

    ReplyDelete
  7. Weweeeeee tanesco ndio wachochezi Wa vita hapa kwanini kila tukio la ukawa wanakata umeme nakusingizia hitilafu mbona ccm ikifañya vyao hakuna hizo itilafu sasa umeme wakate wakati Wa uchaguzi ndipo wataiyona Libya live nyie ma ccm subirini

    ReplyDelete
  8. hata mfanye HUJUMA tumeshaamua MIAKA 50 INAWATOSHA CCM! NO MORE

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad