Tarehe & Eneo Watakalozindulia Kampeni UKAWA Latajwa


Ukawa Tunazindua Kampeni ya Urais na Uchaguzi kwa Ujumla Kitaifa Katika Uwanja wa Jagwani Jumamosi Tarehe 29.08.2015
Tags

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ASANTE SANA MKUU KWA TAARIFA HII, MAANA TUNASUBIRI KWA HAMU.TATIZO MAPOLISI CCM YATATUHALIBIA HUU MKUTANO,NASHAULI SIKU HIYO WASIWEPO KABISA

    ReplyDelete
  2. Siasa zingine ni copy cat mnasubiri CCM waanze kampeni ndo muanze kutosomesha kuchambua waliyosema CCM hukuna sera zenu za orijino yaani mrisubiri mchakato wa wagombea uraisi wa CCM mwisho wa yote mkalamba garasa na hili la kampeni ndo mtatoka kapa kabisa UKAWA hakuna watu wenye busara wa kupanga kampeni zenye maana wanafikiri wabongo hawajaamka ni wakuburuza

    ReplyDelete
  3. Wasenge tu hao

    ReplyDelete
  4. Tunaomba mtuletee tena yale mabasi ya bure huku Arusha, tuje kushuhudia uzinduzi

    ReplyDelete
  5. Hakika nawatakia UKAWA safari njema ya uhakika. Hâta bila kampeni nataka kuwaambia kuwa mmeshapita. Mungu awaongoze. Msitukane Kama wenzenu. Fanyeni kampeni za kistaarabu basi tuko nanyi bega kwa bega kupambana na hawa wanaolinda mfumo wao Wa kulindana na kutanguliza maslahi binafsi. Pambaneni tunawapenda. Mwaka Huu ndo watajua nini maana ya Peoples power. Nguvu ya uma imedharauliwa kwa muda mrefu Ila kwa mwaka huuu Yao ngumu.

    ReplyDelete
  6. wewe msemaUONGO ndio OVYO! Mbona humuulizi BLOG ya michuzi; gazeti la uhuru; mzalendo; daily news; au TBC kama vyombo vyao viko kwenye kampeni ya upande mmoja? Afterall; huyu blog hii - yuko balanced kwa kiasi fulani NA NI PRIVATE! TBC ni MALI YETU WOTE - TUMELIPIA KODI ZETU KUBATI CHOMBO CHETU..LEO WAMETUKATALIA KUKITUMIA? Je ingekuwa ni TV ya CCM tena si INGEKUWA NONGWA! CCM wamekatialia VIWANJA VYOTE! Angalieni KANU ilipo! Walifikrir JENGO la KENYA INTER. CONFE. CENTER LAO PALE NAIROBI! SASA KANU WANALO TENA LILE JENGO? WALIFIKIRI KASARANI NI YA KWAO...WAKO WAPI KANU! Mungu ibariki Tanzania!, na watanzania wote, isipokuwa chama cha mafisadi na watu wake - vijicenti; escrowwwwww; nk nk....Hata YESU Kristo angekuja LEO ukamweka CCM hata kwa dakika TATU TU atakuwa JAMBAZI TU!! JAMBAZI NI JAMBAZI TU! UKISHAONJA NYAMA YA BINADAMU....HUTAACHA...ILE LAANA ITAKUTAFUNA TU! Lakini ukitubu!Mungu atakusamehe! Na ndio maana tunasema - PEOPLE'S POWER. HAKUNA CHA NANI UKAWA WALA NANI - HAYA NI MABADILIKO YANAYOLETWA NA WATU, KWA AJILI YA WATU WENYEWE! MFUMO WA KUTAWALA TANZANIA LAZIMA UBADILIKE! Hakuna tena who knows who!! Finally, what YOU can GIVE TO TANZANIA IS WHAT WILL MATTER MOST!

    ReplyDelete
  7. Hakuna jipya kwako wewe kilakuno Nicky njau mtapigwa nyie ccm mwaka huu Jino kwa jino kisigino kwa kisigino tuone ilo bao lenu ccm ikipita labda mbingu iwe haipo ndio mtajua tupo watanzania wengi tulio ichoka ata kwa unyao Wa nywele ncha Mona ccm itatoka tu madarakani

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ongeeni yote na mwogopeni Mungu, wewe uliyetaja Yesu hapo juu Sijapenda

      Delete
  8. MKUU UMESEMA KWELI WATANZANIA CCM TUMEICHOKA ,HATUTAKI TENA KUISIKIA TUJITOKEZE KWA MWINGI BILA KUKOSA 25/10, .KWENYE MAZISHI YA CCM YATAYO FANYIKA KATIKA MAKABURI YA TANGANYIKA ASIKIAE AMTAARIFU NA WENGINE

    ReplyDelete
  9. Weee Kidoo mbona una mchecheto kupita kiasi maana una wivu kupita kiasi na nchi hii kwa sababu ya utulivu na amani ndo maana maoni yako niya kihasira ya kutaka watu uwachonganishe wagombane kwa sababu ulipotoka na kukimbilia Tanzania ni vita tupu kwa sababu ya upotofu wa mwamko na fikira dhaifu za umimi na kujiona ni bora kuliko wengine nyinyi wakimbizi mtatuharibia nchi na hasa siasa zenu za uchochezi mnapoingilia mambo ya siasa hatutaki mabadiliko kwa staili yenu ya kimauaji tunataka mabadiliko kama yatakuwepo yawe ya usalama na amani MUNGU IBARIKI TANZANIA NA WATU WAKE mara milioni

    ReplyDelete
  10. Mungu ibariki ccm ife

    ReplyDelete
  11. hakunaga baraka za kufa ww shindwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
    hapa kazi tuuuuuuuuuu#+255 kwanza sambasa makoopa halafu twende kazi ccccccccmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmm juuuuu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad