Tetesi za Wakongwe wa CCM Kuhama Chama na Kujiunga na UPINZANI Zaanza Kunukia..Hali ni Tete CCM
11Udaku SpecialAugust 10, 2015
Hali ni "TETE" CCM !
Tetesi za wakongwe wa CCM kuhama chama na kujiunga na UPINZANI zaanza kunukia!
Mafuriko ya Lowassa hayazuiliki. Sumaye na Bilali wanategemewa kufanya maamuzi magumu wakati ukifika.
Tusubiri tuone!
Uchaguzi mwaka huu kama waandish wa magazeti hamkutajirika basi kamwe hamtatajirika mtakufa masikini maana uwongo ukweli mbele kwa mbele basi ilimradi biashara imekubali huku wengine wanazimika kwa presha
Kuna wengine watakuwa ni vibaraka wanaotumwa kufuatilia mipango ya upinzani na kuileta upande wa CCM, huyo makamu wa rais anataka aende ukawa ili iweje na atarajie nini huko cheo au.
Kila mtu anakaribishwa; mradi UTUBU dhambi zako za huko huko CCM uje umrudie MUNGU wako! Uitumikie nchi YAKO. Nchi yetu inataka wewe uitumikie si nchi ukupatie nini (Sorry paraphrased toka kwa - WHAT CAN I DO FOR MY COUNTRY AND NOT THE OTHER WAY ROUND ......JFK)!
Kwa nini sisi wabongo tuna hulka ya kuunga mkono uhalifu mtu kapigwa madongo miaka nenda rudi hao hao munarudi kusema safi je hakuna mtu msafi ktk ya watanzania mamilioni mtu mmoja wa busara na hekima akatutoa ktk giza isipokuwa ni walewale waliokuwa wamechafuka kwa vifijo na vigelegele tunawakubali mradi atubu dhambi vipi mwenye kuzoea dhambi ataacha kurudia madhambi yake hatuwezi badilika tizama Clinton alitembea na changu jamaa wakamuona hafai wakataka atolewe leo sisi mtu anakwapua tumnamtuhumu baadae tuna msafisha anafaa kupewa nchi.
Haya sasa Tanzania kuchile,
ReplyDeletehii yote ni kitendo cha kuita watu makapi?AU?
Mungu ibariki TZ.
Uchaguzi mwaka huu kama waandish wa magazeti hamkutajirika basi kamwe hamtatajirika mtakufa masikini maana uwongo ukweli mbele kwa mbele basi ilimradi biashara imekubali huku wengine wanazimika kwa presha
ReplyDeleteHii sasa itakua ccm b
ReplyDeleteKuna wengine watakuwa ni vibaraka wanaotumwa kufuatilia mipango ya upinzani na kuileta upande wa CCM, huyo makamu wa rais anataka aende ukawa ili iweje na atarajie nini huko cheo au.
ReplyDeleteWewe jipe moyo kwamba waandishi wanajitajirisha wakati huo ndio ukweli,vijana wanawaondoa hao wezi madarakani.
ReplyDeleteMtasubiri sana, makapi yamekwisha hama
ReplyDeleteSumae aende tu kama anataka bilali nae pia bado ccm ni ileile na watu ni walewale wapinzani wataisoma namba.
ReplyDeleteKila mtu anakaribishwa; mradi UTUBU dhambi zako za huko huko CCM uje umrudie MUNGU wako! Uitumikie nchi YAKO. Nchi yetu inataka wewe uitumikie si nchi ukupatie nini (Sorry paraphrased toka kwa - WHAT CAN I DO FOR MY COUNTRY AND NOT THE OTHER WAY ROUND ......JFK)!
ReplyDeleteWOTE NI WALE WALE!!!
ReplyDeleteccm b hao, wapinzani waamke! wasiwe mabwege.
ReplyDeleteKwa nini sisi wabongo tuna hulka ya kuunga mkono uhalifu mtu kapigwa madongo miaka nenda rudi hao hao munarudi kusema safi je hakuna mtu msafi ktk ya watanzania mamilioni mtu mmoja wa busara na hekima akatutoa ktk giza isipokuwa ni walewale waliokuwa wamechafuka kwa vifijo na vigelegele tunawakubali mradi atubu dhambi vipi mwenye kuzoea dhambi ataacha kurudia madhambi yake hatuwezi badilika tizama Clinton alitembea na changu jamaa wakamuona hafai wakataka atolewe leo sisi mtu anakwapua tumnamtuhumu baadae tuna msafisha anafaa kupewa nchi.
ReplyDelete