Tetesi za Wakongwe wa CCM Kuhama Chama na Kujiunga na UPINZANI Zaanza Kunukia..Hali ni Tete CCM

Hali ni "TETE" CCM !
Tetesi za wakongwe wa CCM kuhama chama na kujiunga na UPINZANI zaanza kunukia!
Mafuriko ya Lowassa hayazuiliki.
Sumaye na Bilali wanategemewa kufanya maamuzi magumu wakati ukifika.
Tusubiri tuone!
Tags

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Haya sasa Tanzania kuchile,
    hii yote ni kitendo cha kuita watu makapi?AU?
    Mungu ibariki TZ.

    ReplyDelete
  2. Uchaguzi mwaka huu kama waandish wa magazeti hamkutajirika basi kamwe hamtatajirika mtakufa masikini maana uwongo ukweli mbele kwa mbele basi ilimradi biashara imekubali huku wengine wanazimika kwa presha

    ReplyDelete
  3. Hii sasa itakua ccm b

    ReplyDelete
  4. Kuna wengine watakuwa ni vibaraka wanaotumwa kufuatilia mipango ya upinzani na kuileta upande wa CCM, huyo makamu wa rais anataka aende ukawa ili iweje na atarajie nini huko cheo au.

    ReplyDelete
  5. Wewe jipe moyo kwamba waandishi wanajitajirisha wakati huo ndio ukweli,vijana wanawaondoa hao wezi madarakani.

    ReplyDelete
  6. Mtasubiri sana, makapi yamekwisha hama

    ReplyDelete
  7. Sumae aende tu kama anataka bilali nae pia bado ccm ni ileile na watu ni walewale wapinzani wataisoma namba.

    ReplyDelete
  8. Kila mtu anakaribishwa; mradi UTUBU dhambi zako za huko huko CCM uje umrudie MUNGU wako! Uitumikie nchi YAKO. Nchi yetu inataka wewe uitumikie si nchi ukupatie nini (Sorry paraphrased toka kwa - WHAT CAN I DO FOR MY COUNTRY AND NOT THE OTHER WAY ROUND ......JFK)!

    ReplyDelete
  9. WOTE NI WALE WALE!!!

    ReplyDelete
  10. ccm b hao, wapinzani waamke! wasiwe mabwege.

    ReplyDelete
  11. Kwa nini sisi wabongo tuna hulka ya kuunga mkono uhalifu mtu kapigwa madongo miaka nenda rudi hao hao munarudi kusema safi je hakuna mtu msafi ktk ya watanzania mamilioni mtu mmoja wa busara na hekima akatutoa ktk giza isipokuwa ni walewale waliokuwa wamechafuka kwa vifijo na vigelegele tunawakubali mradi atubu dhambi vipi mwenye kuzoea dhambi ataacha kurudia madhambi yake hatuwezi badilika tizama Clinton alitembea na changu jamaa wakamuona hafai wakataka atolewe leo sisi mtu anakwapua tumnamtuhumu baadae tuna msafisha anafaa kupewa nchi.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad