Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na Undumilakuwili

Wakati CCM wanazindua kampeni zao pale jangwani walizidisha muda ya ule unaokubalika wa saa 12 jioni hatukuona kalipio lolote lile toka NEC kuwa CCM walivunja kanuni. Wapinzani walipoanza kuwatambelea wapiga kura wao NEC imeamka usingizini na kudai wamevunja kanuni. Tunaomba NEC popote pale walipo wanijibu hili kwa ushahidi ni lini waliwaandikia CCM kuvunja kanuni
Tags

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. TUME WATUJIBU AMEKIUKA SHERIA IPO? Na VIPI Kuhusu mkapa Na matusi yake Babu nzima

    ReplyDelete
  2. NEC na wewe LUBUVA kama umezeeeka unashindwa kazi SI uwaambie wananchi? Usile tu kodi za watu na ukakaa kimya! What is going on our country is an attempt to break people's silence - which literally to CCM means, PEACE!

    ReplyDelete
  3. NEC hawa wote ni walelwale lao moja wapo upande wa CCM nani anataka kuziachia pesa za bure?Bongo mtu akiwa kiongozi anajichukilia tu hamna noma hivyo ndio system ilivyo mnatuongopea eti Bongo kuna democracy

    ReplyDelete
  4. HATUNA IMANI NA NEC KWA ASILIMIA MIA MOJA[100] SASA HIVI CCM KWA KUSHIRIKIANA NA NEC WANAJIANDAA KUVURUGA UCHAGUZI IMKUU MWAKA HUU KWA KUTANGULIZA HOJA MBALI MBALI CHAFU ZA KUPIKWA.WANANCHI TUMEKWISHA KUJIANDAA KIKAMILIFU KUPITIA SANDUKU LA KURA TAREHE 25 OCTOBA 2015.MHESHIMIWA LOWASSA ATASHINDA KWA MAMILIONI YA KURA -CLEAN VOTES-HATUTOKUBALI KWA NAMNA YEYOTE ILE UFEDHULI WA TUME

    ReplyDelete
  5. NEC mmelose control rudini kwenye reli na mchezeshe fair game fair play kwa washiriki wote otherwise mnachokifanya kwa hivi sasa hata mtoto mdogo anaweza kufanya vizuri zaidi yenu. Acheni kutumika vibaya.

    ReplyDelete
  6. HII NEC IITWE NEC TAWI LA CCM NA WEWE MZEE LUBUVA JAJI MSTAAFU KWA USHAURI WA BURE JIUZULU KABLA AIBU KUBWA HAIJAKUFIKA.UNAYAONA WAZI WAZI MADHAMBI YA CCM UNASEMA AAH VYAMA VIZINGATIE RATIBA YA KAMPENI WEWE MZEE KWA NINI UNAFANYA HAYO MADUDU?TUNAKUHESHIMU JIHESHIMU WAACHE CCM WAJIFIE WENYEWE NA GONOREA LAO

    ReplyDelete
  7. Kama hatukuwa tayari kuwa na vyama vingi haikuwa na maana ya kuvianzisha kama geresha! kama chama kinajiamini kuwa kinakubalika na wananchi magendo ya nini? si waache wananchi wawachague kuliko kufanya rough kwa kupitia mamlaka zingine

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad