Ugumu wa Lowassa Kuingia Ikulu Oct 2015 Huu Hapa

WAKATI wafuasi wa vyama vya upinzani vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi ( Ukawa) wakiwa na shangwe kutokana na kumpata Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa kama mgombea wake wa urais katika uchaguzi mkuu wa Oktoba, ugumu wa kiongozi huyo kuingia ikulu umebainishwa, Uwazi lina habari kamili.


aliyekuwa waziri mkuu wa kwanza wa serikali ya awamu ya nne chini ya Rais Jakaya Kikwete, alijiunga na Chadema mwishoni mwa Julai mwaka huu baada ya jina lake kukatwa wakati wa mchakato wa kutafuta mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), nafasi ambayo ilitua kwa Dk. John Pombe Magufuli.

Ugumu wa kwanza unaotajwa, ni uwezekano wa kutopigiwa kura na wafuasi wote wa Chadema, ambao kuingia kwa kada huyo wa zamani wa CCM, kuliwagawa, kwani wapo waliokubali kwa roho moja ujio wake na wengine ambao hawakupendezwa kabisa na jambo hilo. Mgawanyo huo, unapunguza kura ambazo angeweza kuzipata endapo wanachama hao wangekuwa kitu kimoja kama awali.

Ingawa aliripotiwa kuwa na wafuasi wengi akiwa CCM, ushahidi unaonesha kuwa siyo mashabiki wake wote wamefurahishwa na hatua yake ya kuhamia upinzani, hivyo idadi kubwa ya wapiga kura aliokuwa akiwategemea, wameamua kuachana naye na wao kuendelea kubakia chama tawala.
Ugumu mwingine, unatokana na ukweli kuwa licha ya Chadema kujizatiti hadi vijijini, lakini haina mtandao mpana kama ilivyo kwa CCM, hivyo hata ile ‘amsha amsha’ inayoonekana mijini hivi sasa, haiko vijijini, ambako chama tawala bado kina mizizi na kina wapiga kura wengi maeneo hayo.
Jambo lingine linalotajwa kuwa ni gumu kwa Lowassa kuingia ikulu, ni ukweli kuwa kujiweka kando kwa viongozi wawili waliokuwa na mashabiki wengi, Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Wilbroad Slaa na Mwenyekiti wa Cuf, Profesa Ibrahim Lipumba kumewachanganya mno wafuasi wao na hivyo kuwa njia panda.

Ukimya wa Dk. Slaa, anayeaminika kufanya kazi kubwa ya kuwashawishi watu kuipenda Chadema, umewafanya baadhi ya wafuasi wake kutokuwa na mwelekeo, hivyo kuweka uwezekano mkubwa wa watu hao ama kupiga kura kwa wagombea wa vyama vingine au wasipige kabisa, kitu kitakachopunguza kwa kiwango kikubwa idadi ya kura za Lowassa kuelekea ikulu.

Post a Comment

16 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hujachoka Errick Shigongo najua una Ubia wa Kibiashara na Mhe.Kwamba kwa pamoja Mnamiliki DAR LIVE Mbagala..Mwangalie sana Partner wako.Ni mwingi mno mno wa ulaghai.Angalia anguko la Global Publishers kwa mikopo mingi unayoichukua litakurudisha Bukene Kuchuja tena mchanga wa dhahabu.Asikutumie Kikwete ambaye Anakuona kuwa ZOBA.USHINDI WA MHE.LOWASSA NI STUNNING LANDSLIDE, 95 PERCENT.

    ReplyDelete
  2. RAIS AJAE TANZANIA NI JOHN POMBE MAGUFULI MKUBALI,MKATAE.
    NA ATAFANYA VIZURI SANA WAKISHIRIKIANA NA LOWASA.MUNGU IBARIKI TANZANIA.

    ReplyDelete
  3. Wewe umefanya tafiti wapi hata uandike hayo yote acha unazi wa ccccccccmmmmm

    ReplyDelete
  4. We mchambuzi kweli mkundu tena msenge unafirwa nyuma na dudu yako inachomekwa vijiti nyangau kabisa wewe na CCM yako

    ReplyDelete
  5. Uyo mchambuaji anaakili naweza kusema ana IQ kubwa lowasa hatoweza kushika nchi labda tuwe sayari ya Pluto th!teh!teh!

    ReplyDelete
  6. Uchambuzi WA zamani unafahamu position ya slaa huu ya Lowasa? Lowasa anasonga na ikulu Ni nyumbani kwake.

    ReplyDelete
  7. Tumekuelewa vizuriii mtoa mada ila wakati huu watanzania wamebadilika, sio watanzania wa miaka ile, huu uongo au propaganda zako tafuta sehemu uweze kufanya propaganda zako...nchi imeoza..... wananchi wamechoka kusikia ahadi za uongo, ila mwaka huu ccm watajua kama pilipili ni mboga au samaki....jiandaeni...

    ReplyDelete
  8. ukawa chama cha madereva wa bodaboda na bajaj
    na kama akishinda lowassa watanzania tutakua wapumbavu wa kwanza duniani.
    kweli lowassa analazimisha kuingia ikulu na yeye ni mnafiki wa ccm.
    anaelazimisha kuingia ikulu ni kama gonjwa la ukoma na aogopwe
    alipokua ccm watu wa ukawa mlikua mnamtukana na sasa ameingia ukawa amekua kama almasi ya mwadui.
    ukweli ni kwamba siasa ni mchezo mchafu sana.
    pombe hana sifa chafu tangu nimsikie zaidi ya sifa za kuvunja majumba ya watu yaliopo kwenye road reserve. ukawa amkeni kwa mtu mliomsimamisha huyo ni mnafiki na mfitini

    ReplyDelete
  9. umepaniki best hujitambui ccm mbele kama kawa nyau nyieeeeeeeeeee!!!1

    ReplyDelete
  10. Inasikitisha kuona mitusi ikiporomoshwa na wale wenye uelewa finyu! Mtoa mada kaeleza kulingana na mtizamo na uwezo wake wa kuelewa.... Hapa tunahitaji kuona maoni juu ya (for or against) mada hiyo na siyo matusi. Falsafa ya kutukana haioneshi ukomavu wa fikra, uelewa wa itikadi au msimmako katika mtazamo fulani; kinyume chake huonesha ukomo wa kufikiri... Toeni maoni tupate kuwafahamu vizuri wagombea pamoja na vipaumbele vya vyama vyao katika kuyatatua matatizo na changamoto za ugumu wa maisha tulizo nazo Watanzania. Mungu Ibariki Tanzania.

    ReplyDelete
  11. Hata bado hujanipamba. Tafta udaku siasa huwezi...

    ReplyDelete
  12. tatizo la sisi watanzania ndo hilo ha2wez kuchangia bila ku2kana, hebu 2jirekebishe ndugu zangu, cha msing toa mchango wako kutokana na mada husika na si kingne

    ReplyDelete
  13. kila mtanzaniya anapo changiya hoja lake asitukane bali atowe sera ya chama chake ktk miaka mitano inakuja.
    mfano ;sera ya lowasa inasema ivi mimi nitakapokuwa raisi kila raiya atakuwa tajiri atuonyeshe vipi uwo utajiri utakuja atufafanuluye vipi mtu ataondokana na umaskini.
    wenzetu huku ulaya wanaonesha vipi ata ingiziya inchi pesa . siyo kuwagawiya nguo na chunvi au mimi nitajenga barabara la miaka sabini halijajengwa wanalifanyia kila mwaka propagandi.nilazima wewe mchangiaji mwaga sera mtu akuelewe.

    ReplyDelete
  14. Mimi hofu yangu ni kwa kada mpya na mgeni kabisa akaingia leo na kesho mapema kabisa akaaminiwa na kupewa nafasi tuseme kubwa kuliko hata mwenyekiti wa chama ya kugombea urais tena urais wa Jamhuri ya Muungano. Mimi ninavyojua kiongozi anatengenezwa, sasa huyu kiongozi aliyekuwa chama kile jana na leo amehamia huku, je ni lini ameandaliwa ? Hadi aaminiwe na wanachama wa hiki chama kipya kupeperusha bendera ya chama chao ? Mimi ninayo mashaka ya huyu mamluki kwani asije bahatisha kupata urais halafu akabaki na hangover za itikadi za chama chake cha zamani ambacho kilimlea na kumkuza kwa zaidi ya 20years. Nawaombeni watanzania tuweke ushabiki pembeni, na tukae tujadiliane na tusemezane kwa mapana ili sote tuwe na uelewa wa pamoja. Naomba tutumie vichwa na ubongo wetu kufikiri na kupambanua mambo, kamwe tusitake watu wengine wafikiri na kutuamlia masuala ya demokrasia na maendeleo yetu. Amani kwanza, nchi kwanza. Mungu Ibariki Tanzania

    ReplyDelete
  15. Mimi kama mtanzania wa kawaida pia nimetatanika sana na kuona mwanachama aliyekuwa chama kingine jana, leo ameingia chama kingine na kuaminiwa kupeperusha bendera ya chama kipya. Yaani ameaminiwa kubeba heshima na uhai wa chama hiki kipya bila kujali kwamba jana alikuwa chama kile hasimu. Mimi najua kiongozi anatengenezawa. Sasa huyu aliyeingia jana katengenezwa saa ngapi ? Hofu yangu ni kwamba anaweza kupata urais ambao tena ni urais wa Jamhuri ya muungano, sasa badala ya kujikita kufuata itikadi za chama hiki kipya, akawa ana hangover za chama chake cha zamani ambacho kimemlea na kumkuza kwa zaidi ya miaka 20. Pia napata hisia za GHADHABU, kwamba mwanasiasa huyu amehama kwa hasira kwa kukosa alichokitaka kule. Hii ina maana gani, ina maana kwamba kama angekubalika alichoomba na angebaki kule. Msiniaminishe kuwa kiongozi huyu mlimuandaa akiwa chama hasimu, mimi sintawaelewa kwakuwa chama chenu na chama chake ni vitu 2 tofauti

    ReplyDelete
  16. Jamaa ni kama kitanda chenye kunguni hakiwezi kumaliza kunguni wake kwa kuamishiwa nyumba mpya, kunguni watabaki palepale CHADEMA mpo! kunguni wamehama na kitanda chao. Tafakari Chukua Hatua.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad