Ujumbe Wa Maandishi Kutoka kwa Lowassa Kwenda Kwa Sumaye Kumkaribisha UKAWA

"Karibu Ndugu Frederick Sumaye katika mabadiliko ya kweli. Tushikamane na tusimame pamoja na wananchi kuongoza hamasa ya watanzania wanaotaka mabadiliko kwa kuiondoa CCM kupitia UKAWA. Hakuna anayeweza kusimama kuzuia nguvu ya umma katika kufanya maamuzi sahihi na magumu Oktoba 25, Mwaka huu. Karibu mpambanaji Sumaye".-Edward Ngoyai Lowassa

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. I love uuuuuuuuuu guys kweli nyie makamanda tanzania inawezekana kuingoa ccm

    ReplyDelete
  2. CCM inawezekana kuendelea kutawala na madiliko yapo bila ya Edo Fisadi na mnafiki Sumaye

    ReplyDelete
  3. Hivi hawa wanataka kuing'oa CCM kwa sababu zipi za msingi? Au ndio yale yale ya kutafuta madaraka?

    ReplyDelete
  4. Mtasubiri sanaaa Ku ingoa CCM labda miaka 100 ya uhuru,,,,, Sumaye hana mvuto Lowasa ni pesa zake zina muweka UKAWA,,, ambazo kaziiba akiwa CCM.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad