Ukame wa wana CCM Maguli kuhamia CHADEMA, Je Lowassa Amefilisika au Ameuziwa Mbuzi Kwenye Gunia?

Wakati Lowasa anahamia CHADEMA, alienda kwa tambo nyingi huku akiwaahidi viongozi wa CHADEMA kuwa kuna mafuriko ya wana CCM kuhama chama chao na kujiunga na CHADEMA.

Hata hivyo, mpaka sasa, ni takriban wiki tatu sasa tangu mwanasiasa huyo ahamie CHADEMA na hakuna dalili za yale mafuriko aliyoahidi wakati anajiunga na CHADEMA. Mpaka sasa ni wenyeviti wawili tu wa mikoa wa CCM waliojiunga na Lowasa ilhali aliahidi kuwa zaidi ya nusu ya wenyeviti wa mikoa na wilaya watatangaza kujiunga na CHADEMA. Pia alitangaza kuwa kuna wakuu wa mikoa na wilaya watajiunga na CHADEMA ambapo mpaka sasa, hakuna mkuu wa Mkoa wala wilaya aliyejiunga na CHADEMA.

Pia, hakuna mbunge aliyepitishwa na CCM ambaye ametangaza kujiunga na CHADEMA. Waliojiunga na chama hicho ni wale waliokatwa kwenye kura za maoni kutokana na kushindwa kutimiza matarajio ya wananchi kwenye majimbo yao.

Kwa upande wa wanachama wa kawaida, hapa ndipo hofu ya Lowasa ilipo. Mpaka sasa hakuna lile wimbi la wanachama wa CCM kwenda CHADEMA, baadhi waliokuwa na hasira kutokana na watu wao kukatwa hali imetulia baada ya kuujua ukweli.

Swali la kujiuliza, je Lowasa ameshindwa kufikia dau la kuweza kuwanunua wana CCM zaidi au ameuziwa mbuzi kwenye gunia?

Post a Comment

21 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. MBUZI KWENYE GUNIA,NA "NJAA MBAYA"NITACHUKUA DAU NA BADO KARATA YANGU NITATUPIA CCM.LIWALO NA LIWE BWANA WEEEEEEE,MBONA TUSHAZOEAAAAAAA,KIKUBWA AMANI.MUNGU IBARIKI TANZANIA.

    ReplyDelete
  2. Nchi ya John Pombe Magufuli.

    ReplyDelete
  3. Wasenge nyie wote wanachama Wa ccm mavuzi yenu ccm na watu wake unatombwa midomoninpamoja na mleta mada unafirwa

    ReplyDelete
  4. Hatupati hata iweje. Awadanganye hao hao ambao hawajielewi. Wanadai wanataka mabadiliko kutoka kwa mtu aliyetapikwa na CCM ndo awape mabadiliko. Hapa ni CCM mbele kwa mbele. Magufuli lazima angurume kwa raha zake.

    ReplyDelete
  5. Jamani wale wapenzi wa babu seya woote, ebu mpigieni kura EL maana ukombozi wao ndio upo hapo.

    ReplyDelete
  6. wewe mtoa mada mpuuzi tu,wananchi ndio watakaoamua kwani mkuu wa wilaya au mkuu wa mkoa watasaidia nini,tutolee ujinga wako hapa.

    ReplyDelete
  7. Mwisho wake ni october ..............wafuasi wake jiandaeni kuzika tu....................baba Magufuli mbele kwa mbele................hapa kazi tu............ccm oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  8. Sasa matusi ya nini? Hii ni nchi huru na ya kidemokrasia. Kila mtu ana uhuru wa kuchagua chama akipendacho. Sio lazima kila mtu awe UKAWA. Msituburuze...

    ReplyDelete
  9. UKAME,NAJARIBU KUTAFUTA MAANA YA`SENTENSI HII.NIONAVYO NI KWAMBA MWANDISHI ALIYETOA ANDISHI HILO NI CHIZI MWENDAPOLE.MFANO MDOGO LAKINI WA MAANA SANA.HESABU MIMI PEKE YANGU NIMEHAMA TOKA CCM.SINA JINA,SINA CHEO LAKINI NINA UWEZO MKUBWA SANA WA KUBADIRISHA MATOKEO NINA KISU CHANGU UNAELEWA NAPE?KADI YANGU YA KUPIGA KURA 25 OCT 2015

    ReplyDelete
  10. MNAONDOKA CCM MNAONDOKA CCM MNAONDOKA CCM.WENGI MNAOTUMIA UTETEZI WA CCM NI WALE MLIOAJIRIWA NA CHAMA KIVUMBI HICHO.KIKWETE KABAKIZA MIEZI MIWILI.MJIPANGE IMEKULA KWENU POLENI.KUMBUKENI KILA LENYE MWANZO LINA MWISHO TUNA IMANI NA LOWASSA OYA OYA OYAAA.

    ReplyDelete
  11. Ukisema mimi ni mwanachama wa ccm sawa sawa na kusema Mimi ni Zoba au Zuzu yaani punguani mwenye akili nusu punguani hamnazo mdumavu wa ubongo.Mnaleta hoja za kitoto za kupumulia Matakoni.Unacho muogopea MHE.LOWASSA NINI?Mnafuata mkumbo.Kikwete ana kiiila sababu ya kumuogopa Lowassa kwa Hofu Kuu aliyo nayo,WIZI WA EPA,ESCROW,KUIANGAMIZA HAZINA MATUMIZI MABAYA YA OFISI

    ReplyDelete
  12. lowasa kuhamia upinzani ni jambo moja kubwa kwa watanzania kwani ni kama ccm inawezeza kutoka na mabadiliko yakatokea na watanzania wengi wakafaidika na tanzania ukaendelea na maendeleo yakatokea katika nchi kama iliyo na mali kushinda nchi nyingi kama ruanda hata south africa kwa hiyo siyo lowasa atakae ibadilisha ni wananchi wenyewe kuamua mabadiliko yatokee kwa hiyo kazi na watanzania wenyewe kukubali maendelo na kuutupa umasikini.

    ReplyDelete
  13. lowasa kuhamia upinzani ni jambo moja kubwa kwa watanzania kwani ni kama ccm inawezeza kutoka na mabadiliko yakatokea na watanzania wengi wakafaidika na tanzania ukaendelea na maendeleo yakatokea katika nchi kama iliyo na mali kushinda nchi nyingi kama ruanda hata south africa kwa hiyo siyo lowasa atakae ibadilisha ni wananchi wenyewe kuamua mabadiliko yatokee kwa hiyo kazi na watanzania wenyewe kukubali maendelo na kuutupa umasikini.

    ReplyDelete
  14. lowasa kuhamia upinzani ni jambo moja kubwa kwa watanzania kwani ni kama ccm inawezeza kutoka na mabadiliko yakatokea na watanzania wengi wakafaidika na tanzania ukaendelea na maendeleo yakatokea katika nchi kama iliyo na mali kushinda nchi nyingi kama ruanda hata south africa kwa hiyo siyo lowasa atakae ibadilisha ni wananchi wenyewe kuamua mabadiliko yatokee kwa hiyo kazi na watanzania wenyewe kukubali maendelo na kuutupa umasikini.

    ReplyDelete
  15. lowasa kuhamia upinzani ni jambo moja kubwa kwa watanzania kwani ni kama ccm inawezeza kutoka na mabadiliko yakatokea na watanzania wengi wakafaidika na tanzania ukaendelea na maendeleo yakatokea katika nchi kama iliyo na mali kushinda nchi nyingi kama ruanda hata south africa kwa hiyo siyo lowasa atakae ibadilisha ni wananchi wenyewe kuamua mabadiliko yatokee kwa hiyo kazi na watanzania wenyewe kukubali maendelo na kuutupa umasikini.

    ReplyDelete
  16. lowasa kuhamia upinzani ni jambo moja kubwa kwa watanzania kwani ni kama ccm inawezeza kutoka na mabadiliko yakatokea na watanzania wengi wakafaidika na tanzania ukaendelea na maendeleo yakatokea katika nchi kama iliyo na mali kushinda nchi nyingi kama ruanda hata south africa kwa hiyo siyo lowasa atakae ibadilisha ni wananchi wenyewe kuamua mabadiliko yatokee kwa hiyo kazi na watanzania wenyewe kukubali maendelo na kuutupa umasikini.

    ReplyDelete
  17. UNAPASWA KIKWETE KUZUNGUMZA SANA KWA SASA MAANA BADO UNAYO DOLA KWA SIKU TAKRIBANI 65.WAKUU WA JESHI POLISI MAGEREZA TAKUKURU TUME YA UCHAGUZI MSAJILI WA VYAMA MAHAKAMA WAKUU WA MIKOA WOOTE HAWA UMEWATOA MFUKONI MWAKO.LAKINI SASA UKUMBUKE KITU KIMOJA;KIMENUKA.ANAKUJA MHE LOWASSA NA TIMU MPYA MPYA KABISAAAA.

    ReplyDelete
  18. lowasa kuhamia upinzani ni jambo moja kubwa kwa watanzania kwani ni kama ccm inawezeza kutoka na mabadiliko yakatokea na watanzania wengi wakafaidika na tanzania ukaendelea na maendeleo yakatokea katika nchi kama iliyo na mali kushinda nchi nyingi kama ruanda hata south africa kwa hiyo siyo lowasa atakae ibadilisha ni wananchi wenyewe kuamua mabadiliko yatokee kwa hiyo kazi na watanzania wenyewe kukubali maendelo na kuutupa umasikini.

    ReplyDelete
  19. TANZANIA BILA CCM INAWEZEKANA NA IMEWEZEKANA LOWASSA BABA CHUKUA NCHI ANZA PANGUA PANGUA PELEKA POLISI PELEKA MAHAKAMANI PELEKA ICC FILISI IBUA FURSA IMARA NA ENDELEVU MBALI MBALI KWA MASKINI IMARISHA ELIMU AFYA KILIMO MIUNDO MBINU.TUKOMBOE KWENYE UCHUMI HUU DHAIFU

    ReplyDelete
  20. Nakuunga mkono Anonymous August 21,2015 at 10;19AM.CCM Wanaondoka na Mabadiriko Makubwa sasa yanakuja.Sawa sawa na ENGINE OVERHAUL.Mhe Lowassa cha kwanza Imarisha Uchumi,Rudisha Heshima ya Nchi yetu SONGA MBELE MAJI YA ZIWA VICTORIA YAFIKE DODOMA.Tunajua YATAFIKA KWA LOWASSA YATAFIKA.

    ReplyDelete
  21. Anasema wanaohama ccm ni wachache ama kweli malimwengu.mwelekeo wa maelfu kwa maelfu haya huyaoni.sikia mimi mwana ccm kwa kunitambua bado nipo ccm.kivipi nina maslahi yangu ndani ya ccm.ni mwajiriwa katibu.Lakini ROHO YANGU IPO KWA LOWASSA Na, sikia NITAMPA KURA YANGU.Baada ya kulipwa mafao yangu[nimekitumikia chama miaka 34]nitaachana nacho CCM ya leo kaka UWENACHO

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad