Unaambiwa Hii ni Zaidi ya Mafuriko..Hii ya CCM Sasa Tunaiita Sunami la CCM..Tazama Picha Kumi Kutoka Jagwani leo Ambapo CCM ilikuwa inazindia Kampeni za Uchaguzi 2015


Unaambiwa Hii ni Zaidi ya Mafuriko..Hii ya CCM Sasa Tunaiita Sunami la CCM..Tazama Picha Kumi Kutoka Jagwani leo Ambapo CCM ilikuwa inazindia Kampeni za Uchaguzi 2015
Tags

Post a Comment

14 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. UKAWA Tunasubiri majibu kuna zaidi ya sunami ya CCM

    ReplyDelete
  2. SAFI MAGUFULI AMEWEKA MAJUNGU PEMBENI

    ReplyDelete
  3. CCM mmeonyesha misuli yenu.

    ReplyDelete
  4. Mhhhhhhhhhh kazi kweli, Watanzania mbona walishaamua siku nyiiiiiiiiiingi saaaana hata wenyewe wanafahamu hilo ila hawataki kukubali, Naona ni kazi kuwabadilisha,Hizi tunazoziona na procedure , mbwembwe na matumizi mabaya ya Fedha zetu tu

    ReplyDelete
  5. KIJANI TUPU WAMEGAWIWA UNIFORM BURE,WAMELIPWA ALFU KUMI KWA MTU KWA TAWI YAMEKODISHWA MABASI ZAIDI YA 300 GHARAMA 200,000 KWA GARI,MKATABA WA DIAMOND MIL.350,WASANII CHAP CHAP 120,000 ZAIDI YA 200 WAWAKILISHI WA MIKOA YOTE POSHO 200,000 KWA SIKU. HESABU ZA LEO PEKE YAKE MATUMIZI YA CCM NI BILLION 4.5 PIGA HESABU X SIKU 60 PESA TOKA HAZINA.LOWASSA ATAKUTA TREASURY NYEUPE PE PE PE.

    ReplyDelete
    Replies
    1. na lowasa alinunua ukawa 12b? hizo nazo kazitoa wapi? acha umburura wako, umeziona wakati wanazitoa hizo hela? pumba mkubwa wee

      Delete
    2. wapotezee wao wlisema ohh lowassa hawezi onga watu wote hao sasa sijui ccm wamewezaje mfyuuuuu

      Delete
  6. .Mburura wewe bonge bwege msamiati mshiriki wa kibao kata.huna aibu mbwa wewe aliinunua UKAWA?unaongelea matakoni huo wehu wako mpelekee baba yako.LOWASSA NI ALAMA YA USHINDI Jiandae kusaga chupa na kuwagawia wahuni utu wako.bweha wa rangi rangi we.lowassa ndiye MKUU WETU MPYA.

    ReplyDelete
  7. Pumba wewe msenge usie soma Alana za nyakati ivi watanzania wrngine bado unaukungu kwrnye akili zemu link.mtaamka nakuona uwovu Wa ccm ama wenzetu mmehongwa mqbiliona ya escrow man's hatuwaelewi ilihali wengine wanaishi stand wengine vichochoroni wrngine mnso itetea hats milk miwili kwa Sikh no Mziki fungukeni acheni upururu mmbwa nyie mnao itetea ccm

    ReplyDelete
  8. Hawa hawajazidi wa mzw wala mbeya wala arusha wa dasm ya lowassa... Kwa maana ukiangalia jinsi watu walivyokaa utaona gaps (nafasi wazi kati ya mtu) kwa EL hadi watu walikua wanaangua na kuzirai! chezea EL wewe!!

    ReplyDelete
  9. kama vijana wa mjini wanafanya usanii kuishi mjini; kumbe harta marasi wa Tanzania wanfanya USANII kuweza kutawala! Wanakwenda D.C. kudanganya kwamba Tanzania kuna demokrasia; wanaenda D.C. kudanganya kwamba Tanzania tumefanikia UN millenia!! Huu wote ni USANII. Hebu angalia katika dunia yote kama umeshawahi kuona KAMA USANII HUU unafanyika. Nionyeshe mfano! Hoja hoja hoja. na sikusema nilifanya hivi! No! Nitafanya a/b/c/ NA data za mafanikio na data za serikali iliyo madarakani! Come on my fellas....

    ReplyDelete
  10. watu walikwenda kumwangalia diamond na wasanii wengine. kwanza sikuwasikia watu wakishangilia hata kwa nguvu sana kwa sababu zilikuwa AHADI ZILE ZILE ZA NITA NITA NITA (FOR ANOTHER 5 YEARS - NITA....---) HELL NO!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad