Unamkumbuka Mwanamuziki Defao ? Aonekana Akiwa 'Mchovu' Kenya Huku Sura yake Ikiporomoka kwa Sababu ya Mkorogo

Defao Kulia
Staa mkongwe wa muziki kutoka DR Congo, Jenerali Defao baada ya kutosikika kwa muda mrefu ameonekana huko Kenya, akiwa na muonekano tofauti na alivyozoeleka kutokana na kupungua mwili kwa kiasi kikubwa, na weupe wa ngozi yake ukitia mashaka.

Defao ambaye hata hivyo haijajulikana rasmi ni shughuli gani imempeleka huko Kenya, kutokana na muonekano huo, hisia za wengi zimetafsiri kuyumba kisanaa na kiafya kwa msanii huyo aliyewahi kuwa gumzo kwa sanaa yake katika bara la Afrika na Ulaya.
Hata hivyo, kuyumba kwa msanii huyo pia kunahusisha na kupungua kwa mvuto wa aina ya muziki wa dansi kutoka DR Congo ambao ulifanya vizuri sana katika miaka ya nyuma.
Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nasikia defao anataka kugombea udiwani kupitia ccm.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ni kweli kabisa, lakini amekatwa kakimbilia chadema

      Delete
  2. Kha!!!! Not good,,,,,,,

    ReplyDelete
  3. ANAWEZA KUPATA CCM PESA NA WEZI

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad