Utafiti wa awali uliotolewa na shirika la Kimataifa umeonyesha kwamba Lowassa atashinda kwa asilimia 52.1% Dhidi ya Magufuli 47.9..... (see attached document).... Utafiti huu umefanywa kwa mikoa 29 Tanzania
Kwa upande wa wabunge inaonyesha CCM wataongoza kwa kuwa na wabunge wengi dhidi ya Ukawa.....
Mytake:... Lowassa Hazuiliki...
Utafiti Mpya: Lowassa Kuibuka Mshindi kwa asilimia 51.2%, Magufuli kuambulia 47.9%
9
August 20, 2015
Tags
MUNGU IBARIKI TANZANIA WAJA WAKO TUZIDI KUSIMAMIA UKWELI PASI NA SHAKA,MBARIKI MPENDWA WETU MHESHIMIWA EDWARD NGOYAI LOWASSA,MZIDISHIE AFYA NJEMA,MUONGOZE KUTUKUMBUKA MASKINI,KUTUFUNGULIA FURSA MBALI MBALI EWE BWANA MOLA WETU TUZIDISHIE ARI YA KUPIGA KURA,TUAMSHE SALAMA TAREHE 25 OCTOBA 2015 EM.
ReplyDeleteMH.LOWASA KAMA MGONJWA EEH?MAANA HAWEZI KUSIMAMA KUHUTUBIA ZAIDI YA NUSU SAA KAMA DJ MBOWE.MUNGU IBARIKI TANZANIA.
DeleteAMINAAA...
DeleteCcm haiwezi kuwa na wabunge wengi huo utafiti urudiwe upya
ReplyDeleteACHA WASEME CHAMA CHA MAPINDUZI KINA WENYEWE. ATUWEZI KUWA NA RAIS ANAYEENDA KAMA ROBOTI. KUGEUKA SHIDA. UTAZANI YUPO GWARIDE. TUNAMTAKA MAGUFURI - POWERTILA SIO JEMBE.
DeleteMdau 11:04 AM kidoo pole Ulitaka aseme UKIWA inawabunge wengi kwa ajili ya kukufurahisha hukutosheka mbona kakupa Edo ushindi na umekaa kimya hizo ni jazba na vyote CCM itapata kaa unaota kenge wewe
DeleteMagufuli tu mwanawaneeeeeeeeeeeee,kiroho kwatuuuuuuuuuuuuuuu.
DeleteNa watu wa Kigamboni wapige mbizi! Safari hii sijui tutaambiwaje??
ReplyDeleteREDET WATAFITI MPOOO?MSIMWOGOPE KIKWETE NYINYI NI WATAFITI WASOMI ILE MAY MLIPOTAMKA LOWASSA ANAONGOZA KWA ASILIMIA NYINGI MKAFUTA MATOKEO KWA MAELEKEZO YA IKULU SAFARI HII KAZI YENU NI NYEPEEESI MWENYE MACHO HAAMBIWI TAZAMA TUPENI WANANCHI RAHA RAHA RAHA
ReplyDelete