KIMENUKA..Wana CCM 704 Toka Jimbo Analogombea Nape Ubunge Wahamia CHADEMA

Aliyekuwa mgombea wa kura za maoni kupitia chama cha mapinduzi jimbo la mtama SELEMANI METHEW amekihama chama hicho na kuondoka na wana CCM wapatao 704 na kuhamia chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kwa kile anachodai hakutendewa haki katika mchakato mzima wa kura za maoni.

METHEW amesema kuondoka ndani ya CCM kumetokana na maamuzi ya wananchi ambao wameona haiwezekani na haitawezekana kiongozi wanayemuitaji kufanyiwa hila na mizengwe,kudhulumiwa haki yake ya msingi ya kuwaongoza wananchi wa jimbo la mtama.

Amesema jimbo la mtama halihitaji usanii bali linaitaji mgombea shupavu atakayeweza kupambana na mgombea wa CCM Nape Nnauye huku akisisitiza uwezo huo anao.

Mkutano huo umeudhuriwa na wanawake wengi ambao kwa sehemu kubwa ndiyo waliorudisha kadi za CCM.

Mkutano huo ulipambwa na vimbwanga mbalimbali likiwemo tambiko rasmi lililotumika kumzindika mgombea huyo ikiwa ni pamoja na kumpa nguvu na kumkinga na majanga ili aweze kufanikisha kampeni na kuibuka na ushindi.

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Inaelekea huyo Mathew kwa mademu balaa,maana wanaomsapoti wengi ni michuchus!
    Wanaume angalieni jamaa hasije akawajaza mimba wake zenu kwa kisingizio cha siasa

    ReplyDelete
  2. Safi sana tuletee vichwa hivyo

    ReplyDelete
  3. na tutaondoka wengi. tafadhali walete wengi zaidi. hatumtaki Nape katika jimbo letu la mtama!! Nape zeroooooooooooooooooooooooooooooooooo,.....nape ziiiii.....nape mabua...nape oil chafuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu.....

    ReplyDelete
  4. Ama kweli huyu jamaa kicheche kama kweli wananchi walikutaka kwanini aondoke na watu 704 wengi wao wanawake ni bora kama angeondoka na kundi zima la watu waliompigia kura kwa sababu wanamtaka ina maana wale 704 ni hesabu iliompa ushindi naka dhulumiwa huyu bwana Mathew ni majanga kwa wake za watu bora na huko aendako

    ReplyDelete
  5. wanawake ndio wapiga kura wewe kenge.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Weye mbuzi kwa wingi wao ndio wawe 704 Kakojoe ukulale

      Delete
  6. MTAMA NAPE ALIKAMATWA NA TAKUKURU NA BUNDA LA PESA ZA KUTOA RUSHWA AKAHOJIWA KWA SAA 5 IKAPELEKWA AMRI TOKA KITI NYIE TAKUKURU LINDI WEHU NINI HEBU MWACHIENI MARA MOJA.HIZO PESA NI ZANGU NIMEMTUM A MIYE.TAKUKURUSAWA MZEE,SAMAHANI SANA.

    ReplyDelete
  7. Wewe anonymous 6:32 unawaza watu kujazwa mimba tu atajazwa mama yako shauri yako andika vitu vya msingi acha ujinga. kama mtu kahama ni kwa ridhaa yake kwani wewe inakuhusu nini? hama na wewe acha watu wafanye waonayo ni sahihi kwako hapa kazi yako ni kuchangia kama huna la msingi pita kajambe kule

    ReplyDelete
  8. kumbe mi tu mimi nilijua jimbo zima watahama sana mwaka huu

    ReplyDelete
  9. JIMBO ZIMAA?wee kisokoro unaongelea matakoni.jambo hili uliliona wapi.nakujua weweni wakala wa nape.kwa ile 100,000 aliyokugawia umegeuka bwege bwegele

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad