Wema Sepetu akijitetea Skendo ya kujiuza kwa Mkongo kisha kukimbiwa bila malipo

Chanzo chetu ambacho ni makini kilipenyeza kuwa, katika tukio hilo la hivi karibuni, staa huyo alikuwa hafahamiani na mwanaume huyo, lakini kuna kijana mmoja ambaye mara nyingi anawakuwadia mastaa wa Bongo kwa matajiri, alidaiwa kumtonya Wema kuwa kuna ‘mchati’ anataka kutoka naye.

Kilifunguka kwamba, baada ya Wema kung’atwa sikio juu ya Mkongomani ambaye ana ‘hela chafu’, alidaiwa kuonekana kuchachawa hivyo eti alikubali kupelekwa kwake akajazwe ‘mihela’.

Baada ya Wema kufika hotelini hapo, alitambulishwa kwa Mkongo huyo ambapo baada ya kusalimiana tu, walikaa pamoja na kuanza ‘kufanya yao’.

Baada ya Wema na Mkongo huyo kukutana na kumaliza ‘shida’ zao, kila mtu alichukua hamsini zake huku jamaa huyo ‘akim-block’ Wema kwenye simu.

Pamoja na Wema mwenyewe Kukanusha kupitia instagram kwamba hizo picha ni za 2011, ushahidi wa simu za mezani umemuumbua kwani simu inayoonekana ikimpiga picha ni samsung galaxy s6 edge na simu inayoonekana ipo mezani ni iphone 6 ambazo ni simu zilizotoka juzi juzi tuu.

Haya.....

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mgema akisifiwa sana, tembo huitia maji. Wema unapenda kuishi maisha ya kuigiza. Ishi kama wema na si vinginevyo. Kama umalaya uko kwenye damu ndo hivyo lakini sio kila siku unatujia na maskendo halafu unajifanya kukanusha

    ReplyDelete
  2. sasa mnamtakia nn? hamlali, hamfanyi mapenzi na wake zenu kutwa mnamuwaza Wema.

    ReplyDelete
  3. uchi si wake kinawauma nn hasa. na pesa anazo za kutosha. tatizo ni nn.

    ReplyDelete
  4. Wema asiwe na bwana hata wachungaji na maa sister na wanatiwa itakuwa Madam.

    ReplyDelete
  5. sasa mlitaka ajitie na mitoli kama ya Shangazi Zari, yuko free na anafanya atakalo.

    ReplyDelete
  6. ananyege kama ya wewe udaku, na lazima awe na mwanaume sioni tatizo. tunaendelea kumpenda Wema hata iweje.

    ReplyDelete
  7. huyu mdada kicheche bora diamond alivyo achananae niaibu halafu anataka kuakiongozi wa taifa hili

    ReplyDelete
  8. kama kimewauma saaana, kunyeni boga.

    ReplyDelete
  9. nani asotiwa au kutia ktk dunia hii, au mmemuona Wema tuu acheni ujinga na wengine mnageuzwa usiku na mchana.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad