Zaidi ya Wafugaji 300 wa CCM Wazichoma Kadi zao na Kuhamia CHADEMA

Zaidi ya wanachama mia 300 waliokuwa chama cha CCM kutoka jamii ya kifugaji katika kata ya Engaruka wilaya ya Monduli wamezichoma kadi zao za CCM na kujiunga na CHADEMA huku wakidai maamuzi yao yametokana na utashi wao binafsi kwa kuzingatia hali halisi ya kisiasa ilivyo hivi sasa

Mamia ya wanachama walikusanyika katika mkutano wa hadhara kukusanya kadi za CCM kuzichoma moto na kuchukua kadi za CHADEMA.

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Haya sasa Masai wote toka CCM nenda Chadema kwa Edo, na nyinyi Wasukuma wote mliopo CHADEMA nenda CCM kwa Magufuli, Hizi siasa za kikabila zitatumaliza wanasiasa inusuruni Tanzania wacheni kabisa mchezo huu, umbumbu wetu wa kufata upepo mbaya haiwezekani tunako elekea kubaya, kama ndo siasa za kikabila Edo ausahau uraisi kwani wasukuma ni wengi na sababu ni yeye mwenyewe itakuwa baada ya ufisadi sasa anatuletea ukabila, haitawezekana na haitatokea wamasai kutathimini mambo ya vyama vya kisiasa,isipokuwa kuna msukumo si kwa hiari yao sio kwamba na wadharau la hasha ni kabila lilokuwa na thamani na kujali sana mambo yao binafsi kuliko siasa, kubali msikubali huo ndo ukweli

    ReplyDelete
    Replies
    1. HAKUNA SISA ZA UKABILA KILA MTU ANAHAKI YA KUCHAGUA CHAMA ANACHOKIPENDA ILIMRADI ASIVUNJE SHERIA ZA NCHI

      Delete
    2. umechelewa

      Delete
    3. umechelewa

      Delete
  2. Mambo yameiva mnaotaka mabadiliko kwa kuchoshwa na CCM muarusha anataka nchi hatujui lini mmakua atadai nae zamu yake sikio la kufa UKAWA mliyoyataka yamekua dhamana ya uhai wa mtanzania upo juu ya shingo yenu msituletee uhasama na fitina kwa ulafi wenu wa madaraka

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad