Shauku kubwa ambayo mashabiki wa Diamond Platnumz na Zari the Boss Lady wako nayo kwa sasa ni kuiona sura ya mtoto wao wa kike Latiffah Naseeb a.k.a Princess Tiffah.
Hii ni kutokana na maneno mengi ambayo yanaendelea hivi sasa kwenye mitandao ya kijamii, wengi wanahamu ya kujua mtoto anafanana na nani kati ya baba na mama yake.
Picha zote za Tiffah zilizowekwa kwenye mitandao ya kijamii zinamuonesha mikono, miguu, mdomo lakini amekuwa haoneshwi sura yake.
Shabiki mmoja alimuuliza swali Zari kupitia ukurasa wake, ni lini wana mpango wa kuionesha sura ya Tiffah, na jibu la Zari lilikuwa “Baada ya siku 40”.
Hadi sasa ukurasa wa Instagram wa Princess Tiffah una followers 87,650.
Zari Asema Wataionesha Sura ya Tiffah Baada ya Siku…
3
August 19, 2015
Tags
UKWELI NI KWAMBA DIAMOND ANA MBEGU DHAIFU MNO ZA UZAZI AU KWA MAANA NYINGINE MGUMBA WA KIUME.NI KWELI HUYO MTOTO SI WAKE YEYE ATAKUA BABA MLEZI TUU.JEE UNAJUA ALIISHI KINYUMBA NA MKE WAKE WA KWANZA BILA KUPATA MTOTOKWA MIAKA MINGAPI?MIAKA 15 USIKU NA MCHANA.
ReplyDeleteACHA UONGO WEWE !!! WIVU WAKO TU UNAKUSUMBUA. MKE WA KWANZA ALIANZA KUKAA NAYE AKIWA NA MIAKA MIWILI??
DeleteKWA HIYO SASA DOMO ANA MIAKA 18 HEBU TAJA UMRI WAKE UNAMJUA DOMO VIZURI KULIKO MIMI WA KWA MTOGOLE PIMBI JIKE WE
ReplyDelete