Aunt Ezekiel: Nimeamua Kuhama CHADEMA Na Kurudi CCM Baada ya Kuvutiwa na Sera za Chama........Sijapewa Pesa wala Gari

MWIGIZAJI mahiri wa filamu nchini, Aunt Ezekiel, amedai kutishiwa amani baada ya kufanya maamuzi yake kisiasa ambapo amehamisha ushabiki wake kutoka CHADEMA  na kwenda CCM.

Licha ya mrembo huyo kudai kupokea vitisho mbalimbali, pia alidai amehama chama hicho na kujiunga na CCM kutokana na kukubali sera za chama hicho.

“Sera za chama nilichohamia zimenivutia na wala sikulazimishwa na mtu wala sijapokea fedha wala gari kuhamia huko kama inavyosemekana, bali nafsi na mapenzi pamoja na haki yangu ndiyo yaliyonipeleka huko.

“Nashangaa maamuzi yawe yangu bado watu wanitumie jumbe za vitisho, mimi ni raia kama walivyo wengine, umaarufu wangu usiwe sababu,” alisema Aunt, ambaye awali alikuwa akivaa magwanda  CHADEMA

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hamna lolote wasanii nyie NJAA zinawasumbau!!!

    ReplyDelete
  2. Acha ujinga. Nyie.watoto kizazi cha Leo hamna maadili. Hamna uzalendo. Mnanunuliwa n.a. pesa kimapenzi n.a. kwa Mila kitu.wala hamna uzalendo, Mila wala haya. No makofi tu. Hamjui tofauti ya utu, ustaarabu wala hamna class . Ni kama watu wa mitaani wazi n.a. elimu. pesa hainunui class.

    ReplyDelete
  3. SAWA,ILA NINA SWALI NAOMBA NIKUULIZE.EZEKIEL NI JINA LA KIUME ASILI YAKE NI KIYAHUDI-HEBREW-MAANA YA JINA EZEKIEL NI MWANAUME MFUPI.SASA SUALI JEE WEWE NI TRANSEXUAL GENDER YAANI ULIWAHI KUGEUZA JINSIA TOKA UUME KUJA UKE KUTOKANA NA SABABU MBALI MBALI ZA KISAIKOLOJIA? UKINIJIBU SAWA ,USIPONIJIBU BASI UJUMBE UMEFIKA,ASANTE.

    ReplyDelete
  4. anti ezekiel anazo jinsia zote mbili na ndio maana ccm wamevutiwa na kigodoro huyu.hana anachowapelekea zaidi ya ngono nzembe.yaani ukipita uchaguzi uuguzaji wa magonjwa sugu na hatari unaanza.huyu huku huyu huko.

    ReplyDelete
  5. Kila mtu anayo haki ya kuhamia chama chochote muda anaojisikia,hata hawa wagombea wetu nao kuna vyama walitoka ACHENI ufurukutwa jifunzeni kuheshimu demokrasia!

    ReplyDelete
  6. Kumbe mna approve kabla ? Ndo maana comments zipo biased! Kweli nyie udaku!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad