AY Akutana na Mdogo Wake Kwa Mara Kwanza Baada ya Miaka 16

Rapper Ambwene Yessayah aka AY amekutana na mdogo wake wa kiume kwa mara ya kwanza baada ya miaka 16.AY ameiambia 255 ya XXL kupitia Clouds FM kuwa kuonana na mdogo wake huyo kunaenda sambamba na siku ambayo baba yake mzee Yessayah anatimiza miaka 12 toka afariki dunia.
“Tulikuwa hatujawahi kuwasiliana na wala kuongea kwenye simu na vitu vilikuwa complicated kidogo,” amesema. Ni mdogo wangu na leo ilikuwa siku special kuonana naye na pia leo ni siku ya kumbukumbu ya Mzee Yessayah. Mimi mwenyewe binafsi nimekuwa na furaha kuonana na mdogo wangu wa kiume.”
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. complicated kidogo vipi? tuweke wazi ambwene

    ReplyDelete
  2. Day hongera sana broo Mungu awaweke pamoja kaka

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad