Baada ya Twaweza Kutoa Utafiti Wao..Wengine Waamua Kuingia Mtaani Kufanya Utafiti kwa Kutumia Box
6
September 24, 2015
Wameona isiwe tabu, twaweza twaweza Kitu gani, bora wapige kura za maoni laivu bila chenga wenyewe, ENL vs JPM. Kariakoo hiyo.
Tags
HII KWELI SHIIIIIIIIIDA MABOKISI YA MAANDAZI MNACHANGISHIA KURA ILI IWEJE YESU TUNUSURU KAMA ULIVYOWANUSURU WALIOTANGULIA NA HAWA WALIKOSA MUELEKEO GEA GANI TENA HII MNAKOSA HATA AIBU MTAJINYONGA BURE NA IKULU HAMUIONI NG'OOOOOOOOO MNAONYESHA UKAWA WALIVYO WADHAIFU KUJICHUKULIA SHERIA MKONONI BASI HATA NEC HAWAFAI NI BORA HAYO MABOKISI YENU TUPIGE KURA
ReplyDeleteNEC mko wapi shughulikia hawa wapumbavu watatupeleka kubaya na siku ya 25 october watatulazimisha tupige kura kwenye mabokisi yao
ReplyDeletedouh kazi ipo kwa watafiti uchala
ReplyDeletewakejeli,hawa ccm wamekwisha.nawapongeza kwa ubunifu wenu,wapiga kura hapa tunawaona live siyo wale ngedere wa ccm-twaweza.chapeni kazi hii ya uwazi mtupatie matokeo halali ya jaramba ya kuelekea tarehe 25 octoba 2015.ushindi mkubwa wa lowassa hauna mjadala ccm kuleni tope,lambeni sumu ya viroboto,yamewafika.
ReplyDeleteKWELI MUNGU ATUPIGANIE MAANA NAONA SASA MABADILIKO YANATAKA KUTUPELEKA PABAYA. SIJAJUA SANA KAMA KIJANA HUYU YUKO SAWA KIAKILI AU LAA ATEMBEE BASI TANZANIA NZIMA NA MABOX YAKE. NAULILIZA TU NDIO MABADILIKO TUNAYOTAKA HAYO?? AU TUNAFUATA TU KITU AMBACHO HATUKIELEWI? TUMIA MUDA WAKO KUTAFAKARI. NA KWA DINI YAKO OMBA MUNGU AKUSAIDIE.
ReplyDeletenenda kawaambie hivyo na hao vibaraka wa ccm (TWAWEZA) na wao utafiti wao ulikuwa wa namna gani!!
Delete