Baada ya Twaweza Kutoa Utafiti Wao..Wengine Waamua Kuingia Mtaani Kufanya Utafiti kwa Kutumia Box

Wameona isiwe tabu, twaweza twaweza Kitu gani, bora wapige kura za maoni laivu bila chenga wenyewe, ENL vs JPM. Kariakoo hiyo.

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. HII KWELI SHIIIIIIIIIDA MABOKISI YA MAANDAZI MNACHANGISHIA KURA ILI IWEJE YESU TUNUSURU KAMA ULIVYOWANUSURU WALIOTANGULIA NA HAWA WALIKOSA MUELEKEO GEA GANI TENA HII MNAKOSA HATA AIBU MTAJINYONGA BURE NA IKULU HAMUIONI NG'OOOOOOOOO MNAONYESHA UKAWA WALIVYO WADHAIFU KUJICHUKULIA SHERIA MKONONI BASI HATA NEC HAWAFAI NI BORA HAYO MABOKISI YENU TUPIGE KURA

    ReplyDelete
  2. NEC mko wapi shughulikia hawa wapumbavu watatupeleka kubaya na siku ya 25 october watatulazimisha tupige kura kwenye mabokisi yao

    ReplyDelete
  3. douh kazi ipo kwa watafiti uchala

    ReplyDelete
  4. wakejeli,hawa ccm wamekwisha.nawapongeza kwa ubunifu wenu,wapiga kura hapa tunawaona live siyo wale ngedere wa ccm-twaweza.chapeni kazi hii ya uwazi mtupatie matokeo halali ya jaramba ya kuelekea tarehe 25 octoba 2015.ushindi mkubwa wa lowassa hauna mjadala ccm kuleni tope,lambeni sumu ya viroboto,yamewafika.

    ReplyDelete
  5. KWELI MUNGU ATUPIGANIE MAANA NAONA SASA MABADILIKO YANATAKA KUTUPELEKA PABAYA. SIJAJUA SANA KAMA KIJANA HUYU YUKO SAWA KIAKILI AU LAA ATEMBEE BASI TANZANIA NZIMA NA MABOX YAKE. NAULILIZA TU NDIO MABADILIKO TUNAYOTAKA HAYO?? AU TUNAFUATA TU KITU AMBACHO HATUKIELEWI? TUMIA MUDA WAKO KUTAFAKARI. NA KWA DINI YAKO OMBA MUNGU AKUSAIDIE.

    ReplyDelete
    Replies
    1. nenda kawaambie hivyo na hao vibaraka wa ccm (TWAWEZA) na wao utafiti wao ulikuwa wa namna gani!!

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad