Diamond Kuwa Msanii wa Kwanza Kuumizwa na Siasa Mwaka Huu, Soma Hapa

Msanii Diamond ni mmoja wa wasanii vijana waliopata umaarufu kwa juhudi zake na support ya washabiki wake hasa vijana wenzie katika siku hizi za karibuni.

Kwa sasa amependekezwa kuwania tuzo za MTV EMA na ameomba support ya kura ili kupata ushindi.

Lakini response ya safari hii ni tofauti kabisa na huko nyuma hasa baada ya kukubali kujiingiza katika kampeni za kisiasa. Watu kadhaa walimuonya kuwa siasa zitamharibia na kumpotezea washabiki lakini alidharau na wapo Waliompa ushauri eti asijali kwani hata US wasanii wanajihusisha ma kampeni utadhani kampeni zinafanana.

Ukisoma mitandao inaonyesha kuwa wengi hawatamsapoti kwa kura safari hii na kumganya kuwa msanii wa kwanza kiazibiwa na siasa. Wasanii wajifunze kuwa uchaguzi ni kila baada ya miaka 5 ila maisha ya kazi zao ni kila siku.

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. tatizo dogo elmu ndogo.

    ReplyDelete
  2. wandishi wa kimavi.to bias kwahyo angekua kwa lowasa asingepata anguko??????? lofa endelea kuota mwenzio hez making money

    ReplyDelete
  3. Wacheni izo kijana kapanchi kivyake kazi kuandika wenzenu na kuwatishia umekalia ushabiki eti ni mwanamuziki wakwanza kuumizwa na siasa wabongo kwa wivu usipime kisa hakushabikia UKAWA kwani ndo nyinyi peke yenu mnaomwiinua kimziki na hiyo toka lini???????? mtashangaa sana 25 October kijana piga kazi Dia achana na hao wanayoyasubiri mabadiliko na huku wanapiga domo vijiweni

    ReplyDelete
  4. Kha! hyo matatizo yko na upuuz wako mwenyewe mbna ww hujakaa nayo moyoni mwako mfyuuu na hujalazimishwa kuwa shabiki yke ukiona anazid kukukera kanywe sumu utakua sawa

    ReplyDelete
  5. Tatizo ni CCM ama nene?? Angei-sapoti cdm ingekuwa ok sio?? Mtasubiri sana........CCM woyeeeeee

    ReplyDelete
  6. Jamani tusiwe tunapanic haraka mwandishi kasema kuumizwa na siasa hajataja chama kwahiyo anamaanisha siasa kwa mapana yake!

    ReplyDelete
  7. kukusaport tena Nooooooooooo

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad