James Mbatia Kuhamia Chadema...NCCR Mageuzi Wadai Amekuwa Msemaji wa Chadema Badala ya Kujenga Chama


Mbatia na Lissu
Kuna kila dalili kuonyesha mbatia atakihama chama chake kwenda Chadema. karibuni akionekana kua msemaji wa mambo ya Chadema hadi kuwashangaza wafuatiliaji wa mambo ya siasa. sasa amejitenga na viongozi wenzake wa NCCR Mageuzi hadi wanatishia kujitoa UKAWA.. ameshindwa kutetea maslahi ya NCCR ndani ya UKAWA na inaekekea amelewa mahaba ya Lowassa mtu anayedaiwa kua tajiri sana. Je Mbatia naye atakua nyumbu kufuata malisho Chadema? si siku nyingi tutapata jibu.
Sumaye ambanae inasemekana amejiunga na NCCR japo hakuna ushahidi wa kukabidhiwa kadi ameoneka na jezi ya CHADEMA kwenye mikutano akipiga debe kwa Lowassa. ni wazi NCCR ni mwathirika wa UKAWA na itabaki na ukiwa. inaelekea nyumbu wote watafuata alipo EL. alipo Edo nyumbu wote wapo. tuombe mungu apishilie mbali UKAWA kutwa uongozi ama sivyo tutaona mparurano wa kugombea vyeo.. Sumaye tayari amapewa uwaziri mkuu mbowe inasemekana atakabidhiwa hazina! mbatia bado haifahamiki etc

By Kmbwembwe

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Umeuliza na kujijibu mwenyewe.

    ReplyDelete
  2. mh, hamia tu, tuikomboe nchi, UKAWA hoyeeeeee!!

    ReplyDelete
  3. acha kugombanisha hiyo ni ukawa mambo ya chama kimojakimoja hamna tena siwameungana

    ReplyDelete
  4. Mmetumwa mtuvuruge hatudanganyiki October ndo mwishi wenu

    ReplyDelete
  5. Mmetumwa mtuvuruge hatudanganyiki October ndo mwisho wenu

    ReplyDelete
  6. We kweli mpumbavu nyoko acha uchochezi na kuleta hoja za uwongo hapa pumbu nini wewe

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad