John Mnyika amtetea vikali Dr.Slaa Adai Yaliyotokea ni Kama Samsoni kwa Delila.


Mnyika amemtetea vikali Dr.Slaa na kupingana na wale wanaomkejeli na kumuona hana mchango CHADEMA.

Mnyika anasema Dr.Slaa anao mchango wake na yaliyomkuta ni mambo kama yaliyowahi kumkuta Samsoni kwa Delila.

Naomba kuisha hapa.

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hebu rudia tena, kama sijakuelewa vile............
    Mtamkumbuka na mtamjutia na kumtafuta Dr. Slaa baada ya 25/10/2015...............

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad