Jokate na Ali Kiba Sasa Mambo Hadharani...Wapetiana Laivu na Kushikana Mikono Uwanjani

Jokate ambaye anaonekana kuwa ni shabiki wa Yanga iliyoibuka na ushindi wa magoli 2-0 dhidi ya Simba alionekana mfalme wake Kiba akiwa amepigilia blausi nyeupe, jeans ya blue na kofia ya blue iliyoandikwa ‘King.’
Kupitia Instagram mrembo huyo alipost picha akiwa uwanjani na kuandika: TeamYanga.


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad