Kwa Wanandoa Tu: Ni Halali Kupokea Simu ya Mumeo/Mkeo Akipigiwa?


In case mumeo/mkeo yuko mbali kidogo na simu yake halafu ikatokea akapigiwa simu na mtu ambaye aidha ni namba ngeni au iliyohifadhiwa kwenye simu, na wewe upo karibu na simu yake, Je, unaweza kumpokelea!
Nawasilisha!
Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Inategemea na maisha yenu, kama mimi cna passord kwenye simu yangu na mwenzangu hana. Na utaratibu wetu ni kuwa huru na simu zetu naweza kupokea.

    ReplyDelete
  2. Mine is strictly no. Watu wengi wamecha ndoa zao kwa sababu Tu ya cm. Na wengine wammepewa onyo Na mabosi Wao kwa sababu ya cm. It is a personal device. Kama hamuaminiani fuateni utaratibu muachane.. Unajisikiaje ww unapopoga cm kwa mtu halafu ikapokelewa Na mwingine. Bora isippkelewe unaweza ukapiga baada ya mda. Lkn ikipokelewa, aaah it bores. Kama Kuna dili wahuni tunasema kabanwa Na mkeo Leo tuachane nae.

    ReplyDelete
  3. Mi napokea tu na hata yeye ruksa kupokea yangu. Ni easy, mwambia anayepiga mke/mume wangu yuko mbali, naweza kupokea ujumbe wake tafadhali??? kama anayepiga ni mshamba au ana nia mbaya ni wazi atakimbia.
    Sioni haja ya mke wangu kwa mfano kuficha ficha mambo, atherwise huyo si mke wangu bali kimada tu.Ikifikia mnafichiana simu na kutafuta mwingine asiguse simu ya mwenzake, hapo kuna balaa ama kuna kaujinga flani mnafanya.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad