Akiongea na kituo cha Runinga cha Citizen cha nchini Kenya, Lowassa amesema hawezi kusema kama atakubali au atakataa hadi itakapothibitika kuwa matokeo hayo hayajahujumiwa.
"Siwezi sema nitakuchukulia kama nimeshindwa hadi nitakapothibitishiwa kuwa kila kitu kimeenda sawa na kwamba hakuna hujuma." Alisema Lowassa na kuongeza;
"Tunaogopa sana kuhusu hujuma.Kila mtu unayeongea naye unapokutana naye, anakwambia utashinda, lakini je, watakubali kushindwa?"
Katika hatua nyingine,Lowassa alijibu swali la mwandishi lililomtaka kueleza kama angeweza kusema anachokisema hivi sasa kuhusu CCM endapo angechaguliwa kuwa mgombea Urais kwa tiketi ya CCM.
"Ninasema vitu vingi ambavyo vingeweza kufanywa vizuri zaidi na CCM,na ninasema vitu vingi ambavyo ninaweza kuvifanya vizuri zaidi nikiwa Upinzani." alisema Lowassa.
kamanda kura yangu haki yako!!!! pipoooooooooooooz !!!!!!
ReplyDeletePemparsssssssssssss
DeleteHebu muulize, kwanini amejinyea jukwaani??
Deletebaba yako ndo amejinyea kuma ninyi mnafuata mkumbo subiri awe Rais cjui mtajificha wapi vishubuli ninyi yaan LN kufika chato alienda kama mjomba watoto wakadhan baba nyoooooooooo na huyo makofia wenu kakosa hata sapot ya mkewe kisa ugaid mpaka kwa mke wake kabla ya maghufuli hajahit sana 2004 bro kasoma na mwanae wallah mwanae alimkosea mwalimu akapewa susp aende home thn aftr some weeks arud na parent wake.....ujue jamaa gaid alikuja na polisi pale mwanae alipigwa ngumi na kuzimia sasa kama familia yake anaiendesha kigaidi akiwa rais hata wewe utalazimishwa kutombwa na baba yako.....LOWASSA BABA KURA ZAKO HAPA ZIPO ZAKUTOSHAAAAAAAAAAAAA WATU TUMEJIANDAA TWATAKA MABADILIKO C KILA CKU UGALI TEMBELE TUBADILISHIE TULE UGALI SAMAKI BABABABABABABABABABA
Delete