LOWASSA Aiangamiza Ngome Ya CCM, Jimbo La Mtama Kwa Nape Nnauye Jiioni Hii ......Mamia Warudisha Kadi za CCM Na Kujiunga UKAWA


Sumaye akiwa ameshika cadi za uana Chama wa CCM zilizorudishwa




 Kadi zilizorudisha kwa ajili ya kuangamizwa..




Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kimeeleweka kule jimbo la mtama.chokochoko zooote kwa mheshimiwa lowassaza miaka chanzo ni nape na kaka yake bernard membe.watanzania tuiikua na hamu kubwa sana kutaka kuona jee wananchi wa jimbo la mtama linalogombewa na nape nauye msemaji mkuu wa ccm,mnafiki wa kutupwa,muongo,muhuni,mzua mambo,aliyewahi kuongoza kampeni propaganda za ccm za jivue gamba kuwa jee pimbi huyu na kaka yake membe,na mwenyekiti wake ambaye ameolea lindi wanaweza kumkabili jabali lowassa akitua pale mtama, jee itakuaje? jee kutatokea nini? unajua kwa nguvu zote za ccm wananchi walirubuniwa wasimpokee lowassa leo tumeona na tumethibitisha kule mtama kuwa lowassa ni moto wa kuotea mbali,ni kidume wa siasa tanzania,ni kiila kitu katika siasa za tanzania ya leo. kapokewa kama mfalme na maelfu kwa maelf ya wananchi na ujumbe mzito wa wana mtama wa kurejesha karibu kadi zote za` ccm za jimbo ni salamu tosha kwa ccm kwamba ijiandae kukabidhi dola mara baada ya uchaguzi mkuu tarehe 25 octoba 2015.ama kuhusu uchaguzi wa mbunge mtama mpiganaji suleiman matthew al-maaruf-messi mchezaji wa zamani wa kimataifa wa tanzania kesha pita kama ilivyo kwa mheshimiwa lowassa anasubibiri peoples endorsment tuu tarehe 25 octoba 2015.jamani ni raha sio rahaaaaaaaah!! the beast ccm is now cornered while inside a tiny hole.just burn the thing.choma.

    ReplyDelete
  2. lowasa nchi yako hii dady lazima tuutoe mfumo wa wapigaji

    ReplyDelete
  3. Asanteni Mtama kujibu
    Bao la mkono

    ReplyDelete
  4. Waliokabidhisha kadi mbona hatukuwaona au ndo yale ya mtaji atakaokuja nao Edo wanauziwa tena mbuzi kwenye gunia aluta kontinua Dokta Magufuli kwa raha zako unawaacha mbali hatua kwa hatua kila kukicha wanakalia kampeni za old model wakati watanzania sio wadanganyika kama zamani

    ReplyDelete
  5. Siasa za porojo hazifai kwa karine hii ya leo uongozi unataka hekima na busara hivi kweli hawa kina Edo na Sumaye wanafaa kuingia ikulu kwa gea hizi za kijinga hapana hawafai hata ubalozi wa nyumba kumi kwani wamekosa busara za maana hawana lao isipokuwa kutapatapa na kuikamia ikulu kwa nguvu zote

    ReplyDelete
  6. Tanzania it's not that much cheap for sale

    ReplyDelete
  7. Hii ni zaidi ya filimu ya vichekesho ya UKAWA kama wanatufanyia usanii na hawajaingia ikulu je wakiingia itakuwa ni usanii mtupu wakome kutufanya wajinga semeni sera zenu sio kila kukicha hakuna habari zingine ila za mafuriko na ulaghai

    ReplyDelete
  8. Mtakubali tuuu makada Wa ccm nyie kadi ngapi zimerudishwa kwenu mbona hamkusema feki za ccm kuja ukawa ndi feki kweli nyie kenge

    ReplyDelete
  9. Kwahiyo hizo Kadi ni za ukawa? Tumechoka kuongozwa na wasanii, wewe unaetoa comment unajua nchi hii zaidi ya lowasa na sumaye? Njaa zitatuua unakubali kuambiwa baiskeli ni Gari nawewe unashangilia kwa kusema ni kweli, tumechoooka na mboga mmoja jamani mbona mnatulazimisha? Ukawa ndio habari ya Tanzania wewe baki na wauza gesi, twiga, gold na Madini

    ReplyDelete
  10. UKAWA wanaingilia tasnia ya maigizo nchini...uwiiiiiii!!!

    ReplyDelete
  11. TUNGESHANGAA KAMA NYINYI CCM MNGENYOOSHA MIKONO KUASHIRIA KUKUBALI KUSHINDWA.NYINYI NI DIE HARDS DAWA YENU NI 25 OCTOBA.UKUBALI KUSHINDWA CCM? UJASIRI HUO UUPATE WAPI.TANGAZO LA KUSHINDWA KWENU LITAKALOTOLEWA NA TUME NDIPO MTAKAPO SEMA,WENYEWE BILA SHURUTI 'SHIKAMOO MZEE LOWASSA'

    ReplyDelete
  12. nape karibu kijijini nanjilinji tuvue samaki kwennye syasa umepigika,mwisho wa ubaya aibu.usisahau kuja na net maana mmbu ni wengi-wanawatambua wageni.pole.

    ReplyDelete
  13. haaaaaa! ngoja ni cheke. HATA NEKI WENYEWE WANAMKUBALI LOWASA. HAJALISHI TUNAVAA MAGWANDA YA CCM LAKINI CHAGUO NI LOWASA.HATA MH ALIIMBA KAWIMBO HAKA (NEK)- TUNAIMANI NA LOWASA. BEST IMBA NA WEWE KIMOYOMOYO !!!!!!!!!!! KWANI UONGO .SURA YANGU CCM MOYONI LOWASA NA CHAGUO NI LOWASA. NGUO CCM ..POLITICAL SCIENCE.........!
    TO GETHER WE CAN.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad