Lowassa Amvunja Miguu Magufuli...Apata Mapokezi Makubwa yakushangaza Jimboni Kwa Magufuli Chato

Ukitaka kujuwa Magufuli ni mzigo kwa Ccm ni mkutano Lowassa aliofanya Chato leo.
Watu hawamtaki magufuli kila mtu lowassa na mabadiliko.
Ina maana kama Lowassa amepata ushindi mkubwa namna hii nyumbani kwa Pombe nani tena wakumzuia asiingie ikulu.

Post a Comment

18 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. WALIOJAA HAPO WOTE NI CCM HAWAJAVAA SARE TUU

    ReplyDelete
    Replies
    1. hilo nalo neno watashangaa jpm anaigia ikulu hivi hivi

      Delete
  2. Mtajibeba mwaka huu na ccm yeko huna jipya

    ReplyDelete
  3. Umeona eeee hata mimi nili kuwepo nisikie sera za lowasa lakini hamna kituuu ccm oyeeee

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hahahaa..Watu wameenda kuona na kushuhudia tu, siunajua siku zingine ktk kampeni za UKAWA unpata kuona mahelicopter pia n.k, maana sio kila siku utapata kuyaona hayo!! Kushuhudia Lowassa sio baya afya/sera/umati -ake tuko wengi tunavyojitokeza kushuhudia tu, ila kwa kweli nyoyoni zetu Magufuli ndiye raisi wa wetu, ndiye Jembe la mabadiliko bora kwa Tanzania!!
      Kwani hata kwa hii picha HAMONI MABENDERA/RANGI ZA CCM HUMO!!! Hehee!!;)

      Delete
  4. nyie jipeni moyo ni ccm,mwambieni magufuli aende monduli alafu wafuasi wa ukawa wajifanye ccm,nonsense kabisa,yaani magufuli anachukuliwa mke nyumbani kwake hahaha!! hahaha!!,kweli huu mwendo mdundo hakuna kulala I love it.

    ReplyDelete
    Replies
    1. TCRA mko wapi hawa watu modeli hii hawakomi matusi mpaka nakanyee madebe

      Delete
  5. Replies
    1. pooooooooozi.....................................pawa!

      Delete
  6. Mimi nilikuwepo,na ni CCM,nilitaka kuona kama yanayosemwa kuhusu Lowassa kuwa kachoka na hawezi kuhutubia kwa muda mrefu ni kweli?MUNGU IBARIKI TANZANIA.

    ReplyDelete
  7. hapo ni chato wilayani vijiji je ni ccm tu haya tusubili jpm akienda kama hatojaza chezea watu wanakuja kuzikiliza kigugumizi tu

    ReplyDelete
    Replies
    1. pipoooooz..........................................pawa!

      Delete
  8. PEOPLESSSSSSSSSSSSS POWER!!!! CHAGUA LOWASA LETA MABADILIKO!!!!

    ReplyDelete
  9. MAGUFULI ALIWATUKANA WATU WA KIGAMBONI BAADA YA KUPANDISHA NAULI YA KIVUKO KWAMBA ASIYE NA NAULI BASI AOGELEE,AKATUTUKANA SISI WATU WA BUZIKU TULIYEMUOMBA MABORESHO YA BARABARA KUWA:TUNYE BARABARANI TUSAMBAZE KINYESI CHETU IWE LAMI,TUNAAPA WANA CHATO KUWA TUNAUNGANA NA MAMILIONI YA WATANZANIA KUMCHAGUA LOWASSA.MAGUFULI NI KATILI,MBAGUZI NA HANA STAHA YA KIISTAARABU YA KUPIMA NA KUCHAGUA NENO.WANA CHATO TUNASEMA TUTAKUFA NA LOWASSA TULIYOYAONA HAPA JANA, LOWASSA KWEUPEEEEEEEE HADI IKULU.

    ReplyDelete
  10. Kwanza huku Chato hakuna siasa za ukanda, pili tulisikia kwamba muheshimiwa huyo anahutubia sio zaidi ya dk 15, halafu pia tukasikia huwaga ana-vibrate , halafu akigeuka anageuka mzima mzima kama robbot, ndio tulitaka kuyashuhudia wenyewe...................binafsi sikusikia alichozungumza ni mpaka niliposoma magazetini, sijui sauti ilikuwa ndogo au kwakuwa nilikuwa na kazi ya kumchunguza tu.......lakini mmmh, kama raisi atakuwa huyu.....sijui itakuwaje, maana mmmh.........

    ReplyDelete
  11. hukuwepo chato umesimuliwa ikakuogopesha wewe upo kwenye msafara wa unene pesa wa magufuli posho kwa siku laki tatu mlikua kigoma tunakufahamu vizuri hujajibu hoja ya kutukanwa wananchi wa buziku na badala yake unazungumzia matatizo sugu uliyonayo ya kutokusikia vizuri-impaired hearing-Mungu yupo upande wa kilio cha wengi.mjiandae tuu kukabidhi otisi kwa mheshimiwa lowassa,iwe mvua liwe jua.

    ReplyDelete
  12. ongeza sio tuu mheshimiwa lowassa kamvunja miguu yote miwili mheshimiwa magufuli hapa chato bali pia kamfyatua nyonga za miguu yote miwili,sasa hawezi kusimama,hawezi kuchechemea.tunadhani turn-out in hundreds of thousands ya wananchi wa chato jimbo la uchaguzi la mheshimiwa magufuli NDIYO ISHARA YA MWISHO YA MWANZO MWISHO WA CCM.sasa lowassa usiongee tena kuomba kura,umekwisha pita,tena kwa kuwapa ccm kipigo cha PAKA SHUME.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad