Lowassa Atakavyoibuka Kidedea Kwenye Mdahalo wa Urais

Hakuna mtu anayejua kucheza vzr na siasa ya Tanzania. Lowassa ni mastermind anajua watanzania ni washabiki wa matukio.

Anachofanya lowassa na kambi yake nikuwaingiza wapinzani wake kwenye angel kichwa kichwa kana kwamba hataki mdahalo then aibuke kwenye mdahalo na kujibu maswali vzr.

Ni imani yangu mdahalo hauna tofauti na maswali aliyoulizwa Dodoma nyumbani kwake akajibu vzr, kwa uzoefu wake aliokuwa nao kama waziri mkuu mstaafu anazijua vzr sector zote hawezi kushindwa kujibu swali.

Kuhusu ufisadi bado anao wigo mpana wa kulieleza vzr kama alivyokuwa anasema ni mamlaka ya juu imehusika

Binafsi sioni swali litakalimshinda mzee wetu ataibuka kidedea.

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mhh haya chombeza akiingia mkege jamaa yako akubali mdahalo Edo kaisha msijeleta vurugu yaani hizi siasa za ushabiki zitawauwa

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad